Umwagiliaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
Mitambo kama [[pampu]] imewezesha wakulima kuachana na mifereji na kazi ya kugawa maji. [[Vinyunyizo]] vinamwaga maji kwa mashamba. Kuna mashine kubwa zenya matairi zinazozunguka kwenye ncha na kumwagilia duara. Mengine yanazungushwa kwa nguvu ya maji na kutupa maji hadi umbali wa mita 500.
 
Katika nchi penye uhaba wa maji kuna mbinu mpya wa [[umwagiliaji wa matone]]; mabomba au mipira yenye mashimo madogo yanapelekwa shambani. Mimea inapandwa karibu na shimo la mpira. Wakati wa usiku pasipo na joto kali maji inatoka tone kwa tone kwenye bomba au mpira hivyo yanafika moja kwa moja kwenye mizizi. Mbinu huu unatumia maji kidogo kulingana na umwagiliaji wa kawaida. Nchi ya [[Israeli]] imetangulia kulima mashamba makubwa kwa njia hii.pamoja na kuwa ni nchi yenye ukame sana.
 
== Matatizo ==