Umwagiliaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
[[Picha:Irrigation in the Heart of the Sahara.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji katika [[Sahara]] (Misri) kwa macho ya ndege: kila duara ina kipenyo cha kilomita moja]]
[[Picha:PivotIrrigationOnCotton.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji wa [[pamba]] kwa njia ya [[kinyunyizo]] kikubwa kinachozunguka nchani]]
'''Umwagiliaji''' ni mtindo wa [[kilimo]] wa kupeleka [[maji]] kwa [[mimea]] [[Shamba|shambani]] pasipo na [[mvua]] ya kutosha.
 
Hutumiwa katika maeneo [[yabisi]] au wakati mvua ni kidogo. Katika nchi [[baridi]] unatumiwa pia kwa kusudi la kulinda [[mazao]] dhidi ya [[jalidi]].
 
Ni kilimo ambacho kinasaidia sana, kwa mfano nchi ya [[Misri]] tangu zamani inategemea [[mto]] [[Naili]] katika shughuli zake za umwagiliaji wa mazao.
Mstari 18:
 
== Mbinu za umwagiliaji ==
Kuna mbinu nyingi za kumwagilia mazao. Tangu kale watu walichimba [[mfereji|mifereji]] wa kupeleka maji mashambani. Mashamba yazungukwa kwa [[ukuta]] mdogo wa [[udongo]] na eneo la shamba lajazwa maji. Kujazwa kwa shamba kunarudiwa hadi mazao (kwa mfano [[ngano]]) yamekua. Mazao mengine kama [[mpunga]] hukuzwa mara nyingi ndani ya maji yanayofunika shamba kwa miezi kadhaa. Mtindo huu uneandeleaunaendelea kutumiwa hasa katika nchi nyingi za [[Asia]] na sehemu kubwa ya [[mchele]] duniani inapatikana kwa njia hii.
 
Mitambo kama [[pampu]] imewezesha [[wakulima]] kuachana na mifereji na kazi ya kugawa maji. [[Vinyunyizo]] vinamwaga maji kwa mashamba. Kuna [[mashine]] kubwa zenyazenye [[tairi|matairi]] zinazozunguka kwenye ncha na kumwagilia [[duara]]. MengineNyingine yanazungushwazinazungushwa kwa nguvu ya maji na kutupa maji hadi [[umbali]] wa [[mita]] 500.
 
Katika nchi penyezenye uhaba wa maji kuna mbinu mpya waya [[umwagiliaji wa matone]]; mabomba au mipira yenye mashimomatundu madogo yanapelekwa shambani. Mimea inapandwa karibu na shimotundu la mpira. Wakati wa [[usiku]] pasipo na [[joto]] kali maji inatokayanatoka [[tone]] kwa tone kwenye bomba au mpira, hivyo yanafika moja kwa moja kwenye [[mizizi]]. Mbinu huuhii unatumiainatumia maji kidogo kulingana na umwagiliaji wa kawaida. Nchi ya [[Israeli]] imetangulia kulima mashamba makubwa upande wa kusini kwa njia hii., pamoja na kuwa ni nchi yenyena [[ukame]] sana.
 
== Matatizo ==