Kipepeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
[[File:Common brimstone butterfly (Gonepteryx rhamni) male in flight.jpg|thumb|Kipepeo aina ya (''[[Gonepteryx rhamni]]'') akiruka]]
 
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kipepeo huanza kama [[yai]]. Anatoka kwenye yai kwa [[umbo]] la [[kiwavi]]. Baada ya [[ambua|miambuo]] minne kiwavi huwa [[bundo]]. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla niunaitwa metamofosisi.
 
Vipepeo huishi kwa [[muda]] mfupi. Hula pekee [[kiowevu]] pekee, hasa cha [[mbochi]] wa [[maua]].
 
[[Picha:Cairns_birdwing_-_melbourne_zoo.jpg|thumb|Cairn's birdwing]]
 
==Utangulizi==
 
[[Picha:TYOU&HIGANBANA.JPG|thumb|''Papilio xuthus'']]
Vipepeo wa kweli ni wadudu wa [[nusuoda]] [[Glossata]]. Wana wengine wa Lepidoptera huitwa [[nondo (mdudu)|nondo]]. Kama ilivyo kwa wadudu wengi mzunguko wa maisha wa vipepeo huwa na sehemu nne: yai, [[lava]] (kiwavi), bundo na ndumili ([[w:imago|imago]]). Spishi nyingi zaidi huruka wakati wa mchana. Rangi zao za kupendeza na miruko yao ya mbwembwe hufanya kuangalia vipepeo kuwa miongoni mwa tabia za kupendeza kwa baadhi ya watu.
Line 37 ⟶ 36:
 
==Mzunguko wa maisha==
 
[[Picha:Mating_Common_Buckeyes.jpg|thumb|Common buckeyes wakijamiiana]]
Ni imani iliyoweleka kwamba vipepeo maisha kwa muda mdogo sana. Hata hivyo, kulingana na aina zao, vipepeo kisha kuishi kwa wiki moja mpaka hata takriban mwaka mmoja.
Line 43 ⟶ 41:
Vipepeo wana kizazi kimoja au vizazi kadhaa kwa mwaka. Hutofautiana kutoka sehemu moja mpaka nyingine, huku maeneo ya tropiki yakionekana kuchochea uzazi kwa kiasi kikubwa.
 
===Mayai===
[[Picha:Ariadne_merione_egg_sec.jpg|thumb|Yai la ''Ariadne merione'']]
Mayai ya vipepeo huwa na gamba gumu liitwalo [[korioni]] ([[w:Chorion (egg)|chorion]]). Gamba hili limezungukwa na [[nta]] inayozuia yai lisikauke kabla ya lava hajakua vizuri. Kila yai huwa na tunau dogo, kwa ajili ya kuruhusu manii kuingia na kurutubiha yai. Mayai ya vipepeo na nondo hutofautiana sana kwa ukubwa kwenye spishi zao, lakini yote huwa ya miduara au dharadufu.
Line 53 ⟶ 51:
Mayai hudumu kwa siku kadhaa, lakini mayai mengi hutagwa msimu wa kipupwe na kuanguliwa nyakati za kuchipua. Vipepeo wengine hutaga mayai yao nyakati za kuchupua na kunyaangua msimu wa kiangazi.
 
===Kiwavi===
[[Picha:Common_Buckeye_larva_variation,_Megan_McCarty42.JPG|thumb|Viwavi wa common buckeye]]
Lava wa vipepeo au viwavi hula majani kwa wingi, na hutumia muda wao mwingi wa siku wakitafuta chakula japokuwa asilimia kuowa ya viwavi hula nyasi (majani), wachache hula wadudu. Baadhi ya viwavi huishi maisha ya kutesemeana na [[sisimizi]]. Huwasiliana na sisimizi kwa kutumia mitikisiko maalumu na kemikali. Sisimizi hutoa ulinzi kwa lava hawa ambao nao huwapatia mchwa utamuu wa asali.
Line 59 ⟶ 57:
Viwavi wengine pia wana uwezo wa kuzitokeza sehemu za vichwa vyao na kuonekana kama nyoka. Pia wana madoa kama macho ya uongo kuongezea muonekano huo. Pia, huwa na uwezo wa kutoa kemikali fulani na kuitumia kama ulinzi.
 
===Bundo===
[[Picha:Chrysalis5504.jpg|thumb|Bundo]]
Kiwavi anapokuwa na kukamilika, homoni kadhaa huanza kuzalishwa wakati huu, kiwavi huacha kula na kuanza kutafuta sehemu ya kutulia, na mara nyingi huwa chini ya majani. Hatimaye kiwavi hubadirika na kuwa bundo, baada ya kuambua ngozi yake kwa mara ya mwisho. Bundo kwa kawaida huwa hajongei, isipokuwa huweza kujitikisa/kujinyonga ny’onga na kutoa milio kadhaa kuwatishia madui.
Line 65 ⟶ 63:
Baadae bundo hukua na kupitia mabadiliko katika mfumo wa metamofosisi na kuwa kipepeo kamili.
 
===Ndumili===
[[Picha:Butterfly_portrait.jpg|thumb|Uso wa kipepeo]]
Katika hatua hii kipepeo huitwa ndumili. Jinsi yake pia hutambulika kwa mara ya kwanza. Huwana mbawa za mbele na nyuma, hukuza mbele zikiwa hazijajishikiza pamoja. Huwa na miguu sita. Kisha kutoka nje mara ya kwanza, vipepeo huanza kujifunza kuvuka, nani muda huu ambapo huwa hatari sana kwani huweza vamiwa na maadui. Zoezi hili huchukua saa 1 mpaka 3.
Line 87 ⟶ 85:
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Butterfly|Kipepeo}}