Mwika Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kata ya Mwika Kaskazini ina vijiji vitano ambavyo ni Lole Marera, Maringa, Mrimbo Uuo, Msae Kinyamvuo na Nganyeni. Na Kila kijini kina shule mbili za msingi. Kwa sasa kata hii ina shule mbili za sekondari ambazo ni Lyakirimu na Mwika Secondary. Wenyeji wa
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwika Kaskazini''' ni kata ya [[Wilaya ya Moshi Vijijini]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,177 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 25218
 
Kata ya Mwika Kaskazini ina vijiji vitano ambavyo ni Lole Marera, Maringa, Mrimbo Uuo, Msae Kinyamvuo na Nganyeni. Na Kila kijini kina shule mbili za msingi. Kwa sasa kata hii ina shule mbili za sekondari ambazo ni Lyakirimu na Mwika Secondary. Wenyeji wa eneo hili ni [[Wachagga]] na vijiji hivi vimetenganishwa na mito inayotiririka toka [[mlima Kilimanjaro]]. Mwika kuna soko kubwa la biashara ambalo huwa linawakusanya wafanyabiashara toka sehemu mbalimbali za afrkaAfrika masharikiMashariki. Hili soko ni maarufu kwa uuzaji wa mazao ya vyakula.
 
 
==Marejeo==
Line 7 ⟶ 10:
[[Jamii:Wilaya ya Moshi Vijijini]]
[[Jamii:Kata za Mkoa wa Kilimanjaro]]
Kata ya Mwika Kaskazini ina vijiji vitano ambavyo ni Lole Marera, Maringa, Mrimbo Uuo, Msae Kinyamvuo na Nganyeni. Na Kila kijini kina shule mbili za msingi. Kwa sasa kata hii ina shule mbili za sekondari ambazo ni Lyakirimu na Mwika Secondary. Wenyeji wa eneo hili ni Wachagga na vijiji hivi vimetenganishwa na mito inayotiririka toka mlima Kilimanjaro. Mwika kuna soko kubwa la biashara ambalo huwa linawakusanya wafanyabiashara toka sehemu mbalimbali za afrka mashariki. Hili soko ni maarufu kwa uuzaji wa mazao ya vyakula