Chuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 2:
 
==Asili ya neno "chuo"==
Kiasili maana ya neno "chuo" kilikuwa sawa na "kitabu". Kwa maana hii chuo linatumiwa kwa mfano katika tafsiri za [[Biblia]] kama vile Injili ya Luka 4:17 "Yesu akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo".<ref>[http://www.biblepage.net/sw/kuchagua-kitabu/luka-4.php?chxverse=17 Luka 4:17; ] hii ni toleo la "Union version" lililotafsiriwa(1952) katikatilinalofuata hapa tafsiri ya karne[[Edward Steere]] ya 201893; tafsiri za kisasa hutumia hapa "kitabu" badala ya "chuo". Tafsiri ya "[http://quranitukufu.net Qurani Tukufu]" ya Sheikh Ali Muhsin Al Barwani inatumia kote neno "kitabu", si "chuo".</ref> Kutokana na maana hii asilia "chuo" kimekuwa pia neno la kutaja mahali pa kujifunza kusoma kwa hiyo katika Kiswahili cha miaka iliyopita kiliweza kutaja pia [[shule]].<ref>A. C. Madan Swahili-English Dictionary Oxford 1903: "Chuo, n. {vy-), (i) book; (2) school" ([https://ia801409.us.archive.org/2/items/swahilienglishdi00madauoft/swahilienglishdi00madauoft.pdf online hapa])</ref>. Leo hii matumizi ya neno limebadilika, kwa maana ya "kitabu" huptikana tu katika matini zenye Kiswahili cha zamani na kama mahali au taasisi ya elimu kwa jumla neno "shule, skuli"<ref>"Shule" kutoka [[jer.]] ''Schule'', "skuli" kutoka ing. ''school''</ref> limechukua nafasi pana zaidi.
 
==Viwango vya vyuo==