Macbeth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Thomas Keene in Macbeth 1884 Wikipedia crop.png|right|thumb|Picha ya tamthilia ya Macbeth.]]
'''''Macbeth'' ''' ni [[tamthilia]] ya [[William Shakespeare]] inayohusu mauaji ya [[mfalme]] na athari yake. Ni [[tamthiliya fupi kabisa ya]] Shakespeare inayoaminika kuandikwa katika miaka kati ya miaka 1603 na 1607.
 
== Wahusika ==
Mstari 26:
== Kuhusu tamthilia hii ==
[[Picha:Three Witches (scene from Macbeth) by William Rimmer.jpg|thumb|Macbeth pindi anapokumbana na wachawi]]
Tamthilia hii inaanza pindi [[wachawi]] watatu wanapokutana kujadiliana siku ambayo wataonana na Macbeth. Kuna [[radi]] na [[umeme]]. Baadaye, [[jeshi]] la Macbeth limeshinda [[vita]] dhidi ya jeshi la [[Norway]]. Macbeth, ambaye ni [[mkuu wa jeshi]], anasifiwa kwa [[kazi]] yake.
 
Baadaye, Macbeth na Banquo wanakutana na wachawi watatu wanaomwambia Macbeth kuwa atakuwa kiongozi wa "Glamis" na wa "Cawdor", halafu baadaye atakuwa Mfalme. Baada ya muda kidogo tu, Ross, ambaye ni [[mtumwa]] wa Mfalme, anakuja kwa Macbeth na kumpa habari kuwa ametuzwa kwa kuwa Kiongozi wa "Cawdor". Maneno waliyosema wachawi yalianza kuwa ni ya ukweli. Papo hapo, Macbeth anafanya [[tamaa]] na kuwa na hamu ya kuwa Mfalme.
 
Kisha, anamwandikia mkewe [[barua]] kumwelezea kuhusu taarifa ya wachawi. Lady Macbeth anatunga [[njama]] ya kumuua Mfalme Duncan ili mumewe aupate ufalme. Ingawa Macbeth anaogopa kumuua mfalme, Lady Macbeth anamhimiza kwa kuchokoza ujanadume wake. Macbeth anakubali njama hii.
 
[[Usiku]] wa [[ziara]] ya mfalme katika [[nyumba]] ya Macbeth, Macbeth unamuua Duncan. Kulingana na mpango wake, anawasingizia watumishi wa Duncan waliolala kwa kuwaekea visu vilivyotapakaa damu. Mapema asubuhi iliyofuata, Lennox, ambaye ni diwani, nakuwawekea [[Macduff,visu]] ambaye ni kiongozi wavilivyotapakaa [[Fifedamu]], wanawasili. Askari anawafungulia mlango na kisha Macduff anapatana na maiti ya Duncan huko ndani ya nyumba. Kwa hasira za unafiki, Macbeth anawaua walinzi kabla ya wao kujitetea. Macduff anashuku vitendo vya Macbeth, lakini hasemi kitu. Watoto wa Duncan wanakimbia nje ya nchi kwa hofu ya maisha yao. Macbeth anakuwa Mfalme wa Scotland.
 
Mapema [[asubuhi]] iliyofuata, Lennox, ambaye ni [[diwani]], na Macduff, ambaye ni kiongozi wa [[Fife]], wanawasili. [[Askari]] anawafungulia [[mlango]], kisha Macduff anapatana na [[maiti]] ya Duncan huko ndani ya nyumba. Kwa [[hasira]] za [[unafiki]], Macbeth anawaua walinzi kabla ya wao kujitetea. Macduff anashuku vitendo vya Macbeth, lakini hasemi kitu. [[Watoto]] wa Duncan wanakimbia nje ya nchi kwa [[hofu]] ya [[maisha]] yao. Macbeth anakuwa Mfalme wa [[Scotland]].
Macbeth anawatuma watu wawili kuwaua Banquo na Fleance. Watu hawa wanamuua Banquo, lakini Fleance alitoroka. Baada ya muda, Macbeth hana raha kwa vitendo alivyovifanya. Macbeth anamshuku Macduff, hivyo basi anamuua mkewe Macduff na watoto wake.
 
Macbeth anawatuma watu wawili kuwaua Banquo na Fleance. Watu hawa wanamuua Banquo, lakini Fleance alitoroka. Baada ya muda, Macbeth hana [[raha]] kwa vitendo alivyovifanya. Macbeth anamshuku Macduff, hivyo basi anamuua mkewe Macduff na watoto wake.
Lady Macbeth anababaishwa na vitendo vya kikatili yeye na mumewe walivyofanya.. Yeye anaanza kubabaika mpaka akiwa usingizini, akiongea akisema mambo aliyoyafanya ilhali akiwa amelala.
[[Picha:Johann Heinrich Füssli 030.jpg|thumb|right|Lady Macbeth akitembea ilhali akiwa usingizini.]]
 
Lady Macbeth anababaishwa na vitendo vya kikatili walivyofanya yeye na mumewe walivyofanya.. Yeye anaanza kubabaika, mpaka akiwa [[usingizi|usingizini]], akiongea akisema mambo aliyoyafanya ilhali akiwa amelala.
Macduff anapata habari ya kuwa watu wake wameuwawa. Kila mtu sasa anajua kuwa Macbeth ni katili. Malcom anaongoza jeshi la kwenda kupigana na Macbeth. Lady Macbeth anajiua.
[[Picha:Johann Heinrich Füssli 030.jpg|thumb|right|Lady Macbeth akitembea ilhali akiwa usingizini.]]
 
Macduff anapata habari ya kuwa watu wake wameuwawawameuawa. Kila [[mtu]] sasa anajua kuwa Macbeth ni katili. Malcom anaongoza jeshi la kwenda kupigana na Macbeth. Lady Macbeth anajiua.
Katika vita, jeshi la Macbeth linashindwa. Macbeth anagundua kuwa wachawi wamempotosha. Tamthilia hii inaisha pindi Macduff anapomkata kichwa Macbeth.
 
Katika vita, jeshi la Macbeth linashindwa. Macbeth anagundua kuwa wachawi wamempotosha. Tamthilia hii inaisha pindi Macduff anapomkata [[kichwa]] Macbeth.
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
[[Jamii:Tamthilia za ]]
[[Jamii:Shakespeare]]