Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
hakuna jina kama |
sals assigmnementes fauxes: Numération_grecque#Numération alphabétique |
||
Mstari 14:
== Matumizi ya namba ==
Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama [[tarakimu]] ya [[namba]] kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee za namba. Herufi [[tatu]] za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi ziliendelea kama alama za namba, yaani Digamma au Stigma = 6 (alama ς),
Kwa kutofautisha herufi na namba alama yake ilipewa mstari mdogo juu yake kama αʹ = 1, βʹ = 2, γʹ = 3. Kwa namba kuanzia 1,000 mstari upande wa kushoto uliongezwa, kwa mfano ͵α = 1,000, ͵β = 2000, ͵βηʹ = 2008.
|