Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
upungufu
ki/wa kopti
Mstari 5:
[[Alfabeti]] ya Kigiriki ilianzishwa wakati wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki ya Kale|Ugiriki wa Kale]] na imeendelea kutumiwa hadi katika [[Ugiriki]] ya leo.
 
Ni alfabeti [[mama]] ya lugha za [[Ulaya]], kwa sababu ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa leo [[dunia]]ni kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Wakopti|Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya [[Historia|kihistoria]] iliyotokana na Kigiriki.
 
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]]. Tofauti kubwa ni alama za [[vokali]] na baadaye badiliko la mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia, tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na wa [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za Kisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.