Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 241:
 
::Naunga mkono Muddy na ChriKo. Ombi: ukiwa huko naomba chukua nafasi kuuliza kuhusu masharti ya kuandikishwa kama kundi la watumiaji wa wikimedia (user group). Baada ya majadiliano yetu kuhusu "wikimedia chapter tanzania" labda hapo hatua moja ambako tungeweza kuanza, hasa nikiona ya kwamba Riccardo alielekea kuwa tayari kuwa katibu. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:17, 6 Machi 2017 (UTC)
 
:::Eeeh? Katibu ya nini? Kipala akifika atanieleza vizuri. Kwa sasa nakutakia safari njema. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 10:57, 6 Machi 2017 (UTC)