Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Redentor.jpg|thumb|right|300px| ''[[Sanamu ya Kristo mkombozi]]'' huko [[Rio de Janeiro]] ([[Brazil]]) ni [[sanamu]] ya [[Yesu]] kubwa kuliko zote zilizopata kutengenezwa.]]
{{Ukristo}}
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref>) ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa kwa [[Waisraeli]] katika [[historia ya wokovu]] ya [[Agano la Kale]] na hasa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote [[duniani]],<ref>Hinnells, ''The Routledge Companion to the Study of Religion'', p. 441.</ref><ref>{{cite news |title=Study: Christian population shifts from Europe |author=Zoll, Rachel |url=http://www.guardian.co.uk/world/feedarticle/10003271|newspaper=Associated Press |date=December 19, 2011 |accessdate=25 February 2012}}</ref><ref name="PewDec2012">{{cite web|url=http://www.pewforum.org/files/2014/01/global-religion-full.pdf|title=The Global Religious Landscape: Christianity|publisher=Pew Research Center|date=December 2012|accessdate=2012-07-30}}</ref> ikiwa na wafuasi 2,400,000,000 (33% kati ya watu 7.274 bilioni)<ref name="World">33.39% of ~7.2&nbsp;billion world population (under the section 'People') {{cite web|url=https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/xx.html|title=World|publisher=CIA world facts}}</ref><ref name="gordonconwell.edu">{{cite web|url=http://www.gordonconwell.edu/resources/documents/1IBMR2015.pdf|title=Christianity 2015: Religious Diversity and Personal Contact|publisher=gordonconwell.edu|date= January 2015 |accessdate=2015-05-29}}</ref><ref name="Major Religions Ranked by Size">{{cite web|url=http://www.adherents.com/Religions_By_Adherents.html |title=Major Religions Ranked by Size |publisher=Adherents.com |date= |accessdate=2009-05-05}}</ref><ref name="Global Christianity">{{cite web|author=ANALYSIS |url=http://www.pewforum.org/Christian/Global-Christianity-exec.aspx |title=Global Christianity |publisher=Pewforum.org |date=2011-12-19 |accessdate=2012-08-17}}</ref>, ambao [[nusu]] ni waamini wa [[Kanisa Katoliki]] na nusu ya pili wamegawanyika kati ya [[Waorthodoksi]] (11.9%) na Waprotestanti (38%) wa [[madhehebu]] mengi sana.
 
Karibu wote wanakubali [[Utatu Mtakatifu]], yaani kwamba [[milele]] yote Mungu ni [[nafsi]] [[tatu]] zenye [[umoja]] kamili: [[Baba]], [[Mwana]] na [[Roho Mtakatifu]]. Ni kwa [[jina]] lao kwamba [[Taifa|mataifa]] yote wanahimizwa kubatizwa kwa [[maji]] kadiri ya agizo la Yesu ili kuingizwa katika [[fumbo]] la Mungu pekee kupitia fumbo la kifo na ufufuko wake mwenyewe.
 
[[Kitabu]] kitakatifu cha Ukristo kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].
 
MisingiWakati wa [[Mababu wa Kanisa]] misingi ya [[imani]] ya Ukristo ilifafanuliwa na [[Mitaguso ya kiekumeni]] namna inayokubaliwa na wengi kabisa kati ya Wakristo wa leo. [[nasadiki|Maungamo yao]] yanakiri kwamba Yesu ni [[Mwana wa Mungu]] aliyefanyika mtu ili kuwaokoa [[binadamu]]. Baada ya kuteswa na kuuawa [[Msalaba wa Yesu|msalabani]] alizikwa ila [[Ufufuko wa Yesu|akafufuka]] siku ya tatu akapaa kwa Mungu akishiriki [[mamlaka]] ya Baba hadi [[Ujio wa pili|atakaporudi]] [[Hukumu ya mwisho|kubagua waadilifu na wasiotubu]], akiwapa [[tuzo]] au [[adhabu]] ya [[milele]] kadiri ya imani na matendo yao. Ndiye kielelezo cha maisha matakatifu ambayo kila mtu ayaige
 
Hivyo, kati ya [[madhehebu]] ya Ukristo, karibu yote yanamkiri [[Yesu]] kuwa kwa pamoja Mungu kweli na mtu kweli: katika [[umoja]] na [[nafsi]] yake ya Kimungu zinapatikana sasa hali hizo zote mbili.
Mstari 18:
 
== Asili ==
Chimbuko la Ukristo ni mtu huyo aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huko [[Mashariki ya Kati]], katika [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]] kilichopo hadi hivi leo kwenye mipaka ya [[Palestina]]; alikuwa akiitwa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] ([[kijiji]] alikokulia) au [[mwana]] wa [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] [[Seremala|mchonga samani]]; [[mama]] yake akifahamika kwa [[jina]] la [[Bikira Maria]].
 
Kwa kumuita pia [[Kristo]], wafuasi wake walikiri kwamba ndiye aliyetimiza [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa kale, kama unavyopatikana katika [[vitabu]] vya [[Biblia ya Kiebrania]] na [[Deuterokanoni]].
 
Habari za maisha na mafundisho yake zinapatikana kirefu zaidi katika [[Injili]] nne zilizokubalika, katika [[Agano Jipya]] kwa jumla, lakini pia ziliandaliwa na kutabiriwa na [[Agano la Kale]].
 
== Yesu kama Masiya aliyetarajiwa ==
Wakristo wanahesabu ufufuko wa Yesu kuwa msingi mkuu wa imani yao (1Kor 15:14): ndiyo sababu karibu wote wanaabudu hasa [[Jumapili]], ambayo ndiyo siku ya tukio hilo kuu la [[historia]] yote.
 
=== Masiya Yesu ===
Ukristo ni matokeo ya [[utume]] wa Yesu, uliopokewa na waliomwamini kuwa ndiye [[Masiya]], yaani [[mkombozi]] aliyetimiliza ahadi za Mungu kwa [[binadamu]].
 
Line 39 ⟶ 37:
Yesu alizaliwa miaka kama 1800 baada ya Abrahamu. Vitabu vya [[Injili]] vinaeleza matukio na mafundisho ya Yesu ambayo ndiyo mwongozo wa [[imani]] hiyo. [[Maisha]] na [[kazi]] ya Yesu vimeibua mambo mengi katika [[historia]]. Ndiyo sababu [[kalenda]] iliyoenea duniani huhesabu miaka kutoka ujio wake; huu ni [[mchango]] mmojawapo wa Ukristo katika [[ustaarabu]].
 
=== Mafundisho ya msingi ya Yesu ===
[[Picha:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|300px|'''Hotuba ya Mlimani''' kadiri ya [[Carl Heinrich Bloch]]. [[Hotuba ya Mlimani]] inachukuliwa na Wakristo kuwa utimilifu wa [[Torati]] iliyotolewa na [[Musa]] katika [[Mlima Sinai]].]]
 
Line 50 ⟶ 48:
Pia akajieleza kuwa [[mpatanishi]] wa [[ulimwengu]] wa [[dhambi]] na Mungu na kwamba kila anayemgeukia kwa [[imani]] hatapotea, bali atarithi [[uzima wa milele]]: alisema mwenyewe ni mfano wa [[nyoka wa shaba]] aliyetengenezwa na Musa. ([[Yoh]] 2:23-3:21; [[Hes]] 21:9).
 
Akiwa kando ya [[Ziwa la Galilaya]], Yesu alikuta [[umati]] wa watu umekusanyika. Basi akapanda [[mashua]]ni na kuenda mbali kidogo na [[ufuoni]], akaanza kuwafundisha kuhusu [[Ufalme wa mbinguni]] kupitia mfululizo wa [[Mifano ya Yesu|mifano]].
 
Mmojawapo ni huu ufuatao: "Ufalme wa mbinguni ni kama punje ya [[haradali]] ambayo mtu anaipanda. Ingawa ni [[mbegu]] ndogo sana inakua na kuwa [[mti]] wa [[mboga]] mkubwa kuliko yote. Inakuwa mti ambao [[ndege]] wanauendea, wakipata makao katika matawi yake". ([[Math]] 13:1-52; [[Mk]] 4:1-34; [[Lk]] 8:4-18; [[Zab]] 78:2; [[Isa]] 6:9,10).
Line 88 ⟶ 86:
Kukutanika na kushiriki ma[[fumbo]] makuu, kushukuru na kusifu, pamoja na uwepo wa [[vipaji vya Roho Mtakatifu|vipaji]] na [[karama]] za Roho Mtakatifu, hufanya Kanisa liwe hai.
 
===Uenezi wa awali wa Kanisa===
[[Ujumbe]] wa Yesu ulienea haraka toka [[Yerusalemu]] hata [[Lida]], [[Yafa]], [[Kaisaria]], [[Samaria]], [[Damasko]] n.k. na kuanzisha jumuia nyingi.
 
Line 96 ⟶ 94:
 
Basi ukaja wakati ambao Wakristo wakaanza kukosoana kuhusu [[dhamiri]] zao na [[huduma]]. Ndiyo asili ya [[nyaraka]] mbalimbali ambazo zinaunda sehemu muhimu wa Agano Jipya.
 
=== Teolojia ya [[Nyaraka za Mtume Paulo]] ===
[[Picha:PaulT.jpg|thumb|right|[[Mtume Paulo]] akiandika waraka.]]
[[Mtume Paulo|Paulo]], maarufu kama mtume wa mataifa, aliandika hivi:
 
<blockquote>
Walakini iko [[hekima]] tusemayo kati ya [[wakamilifu]]; ila si hekima ya [[dunia]] hii, wala ya hao wanaotawala dunia hii, wanaobatilika; bali twanena hekima ya Mungu katika [[siri]]; ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliazimu tangu [[milele]], kwa [[utukufu]] wetu; ambayo wenye kutawala dunia hii hawaijui hata moja; maana kama wangalijua, wasingalimsulubisha Bwana wa utukufu; lakini, kama ilivyoandikwa: <p>
''Mambo ambayo [[jicho]] halikuyaona wala [[sikio]] halikuyasikia,
wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,
mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.''<p>
Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho, maana Roho huchunguza yote, hata ma[[fumbo]] ya Mungu. Maana ni nani katika [[binadamu]] ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuaye ila Roho wa Mungu. Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua yaliyokirimiwa na Mungu. Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. Basi mwanadamu wa [[tabia]] ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake ni [[upuzi]], wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu, Maana, <p> ''Ni nani aliyefahamu nia ya Bwana, amwelimishe?'' <p> Lakini sisi tunayo nia ya Kristo. ([[1Kor]] 2:6-16).
</blockquote>
 
<blockquote>
Maana kama vile [[mwili]] ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu [[Wayunani]]; ikiwa tu [[watumwa]] au tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja. (1 Wakorintho 12:12-13).
 
Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na maongozi, na aina za lugha. Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Takeni sana karama zilizo kuu. Hivyo nawaonyesha njia iliyo bora. (1 Wakorintho 12:28-31).
</blockquote>
 
<blockquote>
Lakini labda mtu atasema, 'Wafufuliwaje wafu?' Nao huja kwa mwili gani? Ewe [[mpumbavu]]! uipandayo haihuiki, isipokufa; nayo uipandayo, huupandi mwili ule utakaokuwa, ila [[chembe]] tupu, ikiwa ni [[ngano]] au nyingineyo; lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila [[mbegu]] na mwili wake. [[Nyama]] yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya [[hayawani]], nyingine ya [[ndege]], nyingine ya [[samaki]]. Tena kuna miili ya [[mbinguni]], na miili ya duniani; lakini [[fahari]] yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali. Kuna fahari moja ya [[Jua]], na fahari nyingine ya [[Mwezi]], na fahari nyingine ya [[Nyota]]; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. Kadhalika na [[ufufuo]] wa wafu. Hupandwa katika [[uharibifu]]; hufufuliwa katika kutoharibika; hupandwa katika [[aibu]]; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika [[udhaifu]]; hufufuliwa katika nguvu; hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa Roho.
 
Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko. Ndivyo ilivyoandikwa: mtu wa kwanza, [[Adamu]], akawa [[nafsi]] iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha. Lakini hautangulii ule wa Roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. Mtu wa kwanza atoka katika nchi, ni wa [[udongo]]. Mtu wa pili atoka mbinguni. Kama ilivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni. Na kama tulivyoichukua [[sura]] yake yule wa udongo, kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni. Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na [[damu]] haziwezi kuurithi [[ufalme wa Mungu]]; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.
 
Angalieni, nawaambia ninyi siri: Hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, kwa [[dakika]] moja, kufumba na kufumbua, wakati wa [[parapanda]] ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika. Maana sharti uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo ndipo litakapokuwa lile neno lililioandikwa: ''<p>
 
[[Mauti]] imemezwa kwa kushinda.
Ku wapi, ewe mauti, kushinda kwako?
U wapi, ewe mauti, [[uchungu]] wako? <p>
 
Uchungu wa mauti ni [[dhambi]], na nguvu za dhambi ni [[Torati]]. Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo! (1 Wakorintho 15:35-57).
</blockquote>
 
<blockquote>
Basi wapendwa wangu, kama vile mlivyotii siku zote, si wakati mimi nilipokuwapo tu, bali sasa zaidi sana mimi nisipokuwapo, utimizeni [[wokovu]] wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka. Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kutimiza [[kusudi]] lake jema. Yatendeni mambo yote pasipo ma[[nung'uniko]] wala ma[[shindano]], mpate kuwa wana wa Mungu wasio na [[lawama]], wala [[udanganyifu]], wasio na [[hila]] kati ya [[kizazi]] chenye [[ukaidi]], kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika [[ulimwengu]], mkishika [[neno la uzima]]; nipate sababu ya kuona fahari katika Kristo, ya kuwa sikupiga [[mbio]] bure wala sikujitaabisha bure. Naam, hata nikimiminwa juu ya [[dhabihu]] na [[ibada]] ya imani yenu, nafurahi; tena nafurahi pamoja nanyi nyote. Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami. ([[Fil|Wafilipi]] 2:12-18).
</blockquote>
 
==Uongozi wa Kanisa==
Line 178 ⟶ 140:
Mtume anayekumbukwa sana kule [[India]] ni [[Mtume Thoma|Thoma]] (au: Tomaso) aliyefika mpaka Bara Hindi. [[Kaburi]] lake huonyeshwa katika mji wa [[Madras]]. Mpaka leo wako "Wakristo wa Thoma" kusini-magharibi mwa Bara Hindi. Kwa muda mrefu walikosa mawasiliano na Wakristo wengine waliokuwa mbali, lakini siku hizi wanashiriki katika [[umoja wa Kanisa]] duniani.
 
==HistoriaMuhtasari wa historia ya Kanisa==
[[File:Ephesus IchthysCrop.jpg|thumb|230px|right|[[Samaki]] ilipata kuwa ishara ya Ukristo, kutokana na jina lake la Kigiriki lililoandikwa hivi huko [[Efeso]], [[Uturuki]].]]
Ukristo ulianza Mashariki ya Kati kama madhehebu ya Uyahudi ukaenea haraka kwa watu wa mataifa mengine mengi ya Asia, Afrika na Ulaya kwahivi juhudikwamba zawaamini Mitumewenye waliowahiasili kuchaguliwaya naKiyahudi Yesuwalizidi nakuwa zaasilimia wengineo,ndogo hasa Mtumekufikia Paulomwisho wa [[karne ya 1]].
 
Kwa juhudi za Mitume waliowahi kuchaguliwa na Yesu na za wengineo, hasa Mtume Paulo.
Wakati wa maisha yao, dhuluma zilizotabiriwa na Yesu zilianza kutoka kwa Wayahudi wasiomuamini na kutoka kwa watu wengine. Wa kwanza kuuawa alikuwa Stefano, na kati ya Mitume Yakobo Mkubwa. Kabla ya kufa, mitume waliweka waandamizi wao, ambao kati yao maaskofu mwanzoni mwa karne ya 2 walikuwa wameshika uongozi wa makanisa wakisaidiwa na mapadri na mashemasi.
Ukristo ulienea hasa ndani ya mipaka ya [[Dola la Roma]] na kupokea yaliyo mema kutoka umataduni hasa wa Wagiriki (mashariki) na Walatini (magharibi), bila kukwamishwa na [[dhuluma]] za [[serikali]] zilizodumu kwa [[kwikwi]] miaka karibu 250 ([[64]]-[[313]]).
Hata nje ya dola hilo, Ukristo ulikabiliana na dhuluma, kama vile [[Mesopotamia]] na [[Uajemi]], ambapo ulidumisha zaidi sura asili ya [[Kisemiti]].
 
Wakati wa maisha yaoya Mitume, dhuluma zilizotabiriwa na Yesu zilianza kutoka kwa Wayahudi wasiomuamini na kutoka kwa watu wengine. Wa kwanza kuuawa alikuwa Stefano, na kati ya Mitume Yakobo Mkubwa. Kabla ya kufa, wengi kwa kuuawa, mitume waliweka waandamizi wao, ambao kati yao maaskofu mwanzoni mwa karne ya 2 walikuwa wameshika uongozi wa makanisa wakisaidiwa na mapadri na mashemasi.
 
Wakati huohuo vitabu vingi vya Kikristo vilivyotungwa katika nusu ya pili ya karne ya 1 vilizidi kuenea na kukusanywa hadi vikaunda Agano Jipya.
 
Baada ya hapo vitabu viliendelea kuandikwa kwa kutetea, kutangaza na kufafanua imani sahihi: ndiyo mwanzo wa teolojia kama fani maalumu. Tofauti za ufafanuzi huo, kama zile kati ya shule ya Aleksandria na shule ya Antiokia, ndizo chanzo cha mabishano yaliyochangia mafarakano makubwa yaliyotokea hasa katika [[karne ya 5]], ingawa kuanzia mwaka [[325]] [[mitaguso mikuu]] ilikusanya maaskofu wengi kutoka sehemu mbalimbali ili kumaliza migogoro. Tofauti za [[lugha]] na utamaduni, pamoja na [[utaifa]], zilichangia sana ma[[farakano]].
 
Maendeleo mengine muhimu yalipatikana katika [[maisha ya Kiroho]] kwa uanzishaji wa [[umonaki]] wa Kikristo, kwanza katika majangwa ya [[Misri]], halafu sehemu nyingine zote. [[Juhudi]] za watu hao zilichochea waumini wenzao pia kuwa waaminifu katika [[ulimwengu]] uliozidi kuwashawishi badala ya kuwatesa.
 
Ni kwamba kufikia mwisho wa [[karne ya 4]] Ukristo ulikuwa [[dini rasmi]] ya [[Dola la Roma]] ambalo kabla ya hapo kwa miaka karibu 250 ([[64]]-[[313]]) lilikuwa limeukataza kikatili. Kabla yake [[Armenia]] ilikuwa nchi ya kwanza kupokea Ukristo kama [[dini ya taifa]] ([[301]]). [[Ushindi]] huo ulifanya wengi watamani vyeo ndani ya Kanisa, kwa kuwa viliendana sasa na heshima na [[mali]]: hivyo ubora ulipungua.
 
Kumbe, uenezi wa [[Uislamu]] kuanzia [[karne ya 7]] ulidhoofisha na pengine kukomesha kabisa Ukristo katika nchi nyingi, ukirudisha nyuma ustawi wa Kanisa lote. Hata hivyo, katika [[Karne za Kati]] Ulaya yote ilikwisha kuinjilishwa.
 
Kutoka huko ulienea, pamoja na [[ustaarabu wa magharibi]] ulioathiriwa sana na Ukristo, katika [[Amerika]] yote na sehemu nyingine za dunia.
 
== Mafarakano makuu kati ya Wakristo ==
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la n early example of a Christian house of worship; built in the 1st&nbsp;century&nbsp;ADMagharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
Ukristo ulizidi kupokea watu wa kila aina, hivi kwamba waamini wenye asili ya Kiyahudi walizidi kuwa asilimia ndogo hasa kufikia mwisho wa [[karne ya 1]].
 
Ukristo ulienea hasa ndani ya mipaka ya [[Dola la Roma]] na kupokea yaliyo mema kutoka umataduni hasa wa Wagiriki (mashariki) na Walatini (magharibi), bila kukwamishwa na [[dhuluma]] za [[serikali]] zilizodumu kwa [[kwikwi]] miaka karibu 250 ([[64]]-[[313]]).
 
Hata nje ya dola hilo, Ukristo ulikabiliana na dhuluma, kama vile [[Mesopotamia]] na [[Uajemi]], ambapo ulidumisha zaidi sura asili ya [[Kisemiti]].
 
Tofauti hizo za utamaduni, pamoja na [[utaifa]], zilichangia sana ma[[farakano]].
 
Katika historia ndefu ya Ukristo, yalitokea mafarakano mengi, waamini wa Yesu wakizidi kutofautiana. Makundi makubwa zaidi ni: [[Kanisa Katoliki]], Makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]].
 
Line 283 ⟶ 241:
 
Madhehebu mengine, hasa yale ya [[Wapentekoste|Kipentekoste]], huwa na ibada ambazo hazijaandikwa kitabuni: kiongozi wa ibada wa siku hiyo huja na madondoo yake na mtiririko wa ibada huenda kama "Roho" atakavyoongoza siku hiyo. Kwa sababu hiyo husema kwamba hawafuati desturi au mapokeo. Ukiangalia zaidi utaona kuwa ibada zao pia huwa na mtindo na mtiririko fulani, kama vile kuimba mapambio ya harakaharaka wakiwa wanapiga makofi, kucheza na kurukaruka. Mapambio hayo hufuatiliwa na mengine ya taratibu wakiinua mikono [[kuabudu]]. Inawezekana kusema hao nao wana utaratibu au liturugia yao ingawa haijaandikwa kwenye vitabu.
 
Wakristo wanahesabu ufufuko wa Yesu kuwa msingi mkuu wa imani yao (1Kor 15:14): ndiyo sababu karibu wote wanaabudu hasa [[Jumapili]], ambayo ndiyo siku ya tukio hilo kuu la [[historia]] yote. Ila [[asilimia]] 1 inaendelea kushika [[Sabato]], iliyo siku ya wiki ambapo Wayahudi h upumzika na kuabudu.
 
===Haki na amani===