Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 141:
 
==Muhtasari wa historia ya Kanisa==
{{main|Historia ya Kanisa}}
[[File:Ephesus IchthysCrop.jpg|thumb|230px|right|[[Samaki]] ilipata kuwa ishara ya Ukristo, kutokana na jina lake la Kigiriki lililoandikwa hivi huko [[Efeso]], [[Uturuki]].]]
Ukristo ulianza Mashariki ya Kati kama madhehebu ya Uyahudi ukaenea haraka kwa watu wa mataifa mengine mengi ya Asia, Afrika na Ulaya hivi kwamba waamini wenye asili ya Kiyahudi walizidi kuwa asilimia ndogo hasa kufikia mwisho wa [[karne ya 1]].
Line 158 ⟶ 159:
Ni kwamba kufikia mwisho wa [[karne ya 4]] Ukristo ulikuwa [[dini rasmi]] ya [[Dola la Roma]] ambalo kabla ya hapo kwa miaka karibu 250 ([[64]]-[[313]]) lilikuwa limeukataza kikatili. Kabla yake [[Armenia]] ilikuwa nchi ya kwanza kupokea Ukristo kama [[dini ya taifa]] ([[301]]). [[Ushindi]] huo ulifanya wengi watamani vyeo ndani ya Kanisa, kwa kuwa viliendana sasa na heshima na [[mali]]: hivyo ubora ulipungua.
 
Dola la Roma Magharibi lilipozidi kudhoofiwa na uvamizi wa [[Wagermanik]] na makabila mengine yasiyostaarabika, askofu wa Roma kama mchungaji mkuu alilazimika kuwajibika ili kuokoa jahazi. Ndivyo walivyofanya hasa [[Papa Leo I]] na [[Papa Gregori I]]. Kwa juhudi za wamonaki [[Wabenedikto]] na wengineo, ustaarabu wa kale uliokolewa katika vitabu vyake na [[uinjilishaji]] uliendelea katika Ulaya ya Kati.
Kumbe, uenezi wa [[Uislamu]] kuanzia [[karne ya 7]] ulidhoofisha na pengine kukomesha kabisa Ukristo katika nchi nyingi, ukirudisha nyuma ustawi wa Kanisa lote. Hata hivyo, katika [[Karne za Kati]] Ulaya yote ilikwisha kuinjilishwa.
 
Kumbe, uenezi wa [[Uislamu]] kuanzia [[karne ya 7]] ulidhoofisha na pengine kukomesha kabisa Ukristo katika nchi nyingi, ukirudisha nyuma ustawi wa Kanisa lote. Hata hivyo, katika [[Karne za Kati]] Ulaya yote ilikwisha kuinjilishwa.
Kutoka huko ulienea, pamoja na [[ustaarabu wa magharibi]] ulioathiriwa sana na Ukristo, katika [[Amerika]] yote na sehemu nyingine za dunia.
mwanzoni mwa karne ya 8, Uislamu ulizuiwa na [[Wafaranki]] kuenea zaidi Ulaya bara. Kabila hilo kubwa la Kigermanik liliwahi kujiunga na Kanisa Katoliki likawa msaada mkubwa kwa Mapapa. Isipokuwa kwa kuwaachia watawale [[Italia ya Kati]], walisababisha Papa aanze kuwa kama mfalme wa dunia hii, jambo lililoathiri sana majukumu yake ya kiroho hadi mwaka [[1870]].
 
Katika [[Karne za Kati]] Ulaya yote ilikwisha kuwa ya Kikristo. Kutoka huko ulienea, pamoja na [[ustaarabu wa magharibi]] ulioathiriwa sana na Ukristo, katika [[Amerika]] yote na sehemu nyingine za dunia.
 
== Mafarakano makuu kati ya Wakristo ==