Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 26:
* Termopsidae
}}
'''Mchwa''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Takriban [[spishi]] zote hula [[ubao]].

Kila [[koloni]] lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na wafanya[[wafanyakazi kazi(mdudu)|wafanyakazi]]. Askari na wafanya kaziwafanyakazi hawana [[mabawa]] lakini malkia na mfalme walikuwawaliwahi kuwa na mabawa wakati walikuwawalipokuwa [[vijana]]. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanya kaziwafanyakazi wanafanya kazi zote nyingine zote.

Mara kwa mara wafanya kaziwafanyakazi wanawapatia majana kadhaa [[chakula]] fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].
 
==Spishi kadhaa za Afrika==