Dola la Papa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:PapalStates1700.png|thumb|right|[[Ramani]] ya dola mnamo mwaka [[1700]], lilipofikia kuwa na [[eneo]] kubwa zaidi, katikati ya [[Italia]], mbali ya [[miji]] ya [[Benevento]] na [[Pontecorvo]] [[Italia kusini]] na [[wilaya]] ya [[Venaissin]] na mji wa [[Avignon]] [[Ufaransa kusini]].]]
'''Dola la Papa''' lilikuwa [[nchi huru]] chini ya [[himaya]] ya [[Papa]] kuanzia [[miaka ya 700]] hadi [[1870]],. [[jeshi]] la Italia lilipoteka [[mkoa]] na [[mji]] wa [[Roma]], isipokuwa [[mtaa]] wa [[Vatikano]].
 
Chanzo chake ni [[uvamizi]] wa ma[[kabila]] ya [[Wagermanik]] uliobomoa [[Dola la Roma]] upande wa [[magharibi]] wa [[Bahari ya Kati]]. Wenyeji, wengi wao wakiwa [[Wakristo]] [[Wakatoliki]], walimkimbilia Papa kama kiongozi wao atakayeweza kuwasaidia katika matatizo.
 
Baadaye [[Wafaranki]] walikubali kumuachia Papa [[mamlaka]] ya kisiasa juu ya maeneo mbalimbali nje ya Roma. Polepole maeneo yaliongezwa hata kufikia mikoa 3 na nusu ya Italia ya leo: [[Lazio]], [[Umbria]], [[Marche]] na sehemu ya [[Emilia-Romagna]].
 
Dola lilikoma tarehe [[20 Septemba]] 1870, [[jeshi]] la [[Italia]] lilipoteka [[mkoa]] na [[mji]] wa [[Roma]], isipokuwa [[mtaa]] wa [[Vatikano]].
Kwa mapatano ya tarehe [[11 Februari]] [[1929]], badala yake ilianzishwa [[Mji wa Vatikani]], nchi ndogo kuliko zote duniani ([[kilometa mraba]] 0.44, wakazi 600 hivi), lakini huru.
 
Kwa mapatano ya tarehe [[11 Februari]] [[1929]], badala yake ilianzishwa [[Mji wa Vatikani]], nchi ndogo kuliko zote [[duniani]] ([[kilometa mraba]] 0.44, wakazi 600 hivi), lakini huru ili [[mamlaka]] ya kiroho ya Papa isiingiliwe na [[watawala]] wa [[dunia]] kama ilivyotokea zamani.
 
==Tanbihi==
Line 25 ⟶ 27:
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Italia]]