Nchi huru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nchi huru''' ni zile ambazo hazitawaliwi na nchi nyingine. Kauli hiyo haimanishi kwamba wananchi wake ni huru, kwa sababu pengine mfalme au rais ni m...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Declaration independence.jpg|thumb|250px|[[Koloni|Makoloni]] [[kumi na tatu]] ya [[Uingereza]] katika [[Amerika Kaskazini]] yakitoa tamko la kujitangaza huru mwaka 1776.]]
'''Nchi huru''' ni zile ambazo hazitawaliwi na nchi nyingine. Kauli hiyo haimanishi kwamba wananchi wake ni huru, kwa sababu pengine [[mfalme]] au [[rais]] ni mwenyeji, lakini anawanyima [[haki]] zao kwa kiasi hata kikubwa.
[[File:JuraIndependencia.jpg|thumb|250px|[[Chile]], koloni mojawapo la [[Hispania]] katika [[Amerika Kusini]], ilifanya vilevile mwaka [[1818]].]]
'''Nchi huru''' ni zile ambazo hazitawaliwi na nchi nyingine. Kauli hiyo haimanishi kwamba wananchi wake ni huru, kwa sababu pengine [[mfalme]] au [[rais]] ni mwenyeji, lakini anawanyima [[haki]] zao kwa kiasi hata kikubwa (ambacho kinaitwa [[udikteta]]).
 
Mara nyingi nchi inajitangaza huru, halafu inatambuliwa na nchi nyingine kuwa hivi. Kama si nchi zote zinatambua rasmi [[uhuru]] wake, hali ya kisheria inabaki tata.
 
Siku hizi [[duniani]] kuna nchi huru karibu 200, ya mwisho kutambulika ikiwa [[Sudan Kusini]] ([[2011]]) na ndogo zaidi ikiwa [[Mji wa Vatikano]] (km<sup>2</sup> 0.44 na wakazi 600 hivi tu).
 
Hii haiuzii nchi kuingiliwa kwa namna moja au nyingine kama vile katika [[ukoloni mamboleo]].
 
{{mbegu-siasa}}