George Paget Thomson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1259195
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''George Paget Thomson''' ([[3 Mei]] [[1892]] – [[10 Septemba]] [[1975]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[elektroni]]. Mwaka wa [[1937]], pamoja na [[Clinton Davisson]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Thomson ni mwana wa [[Joseph John Thomson]] aliyetuzwa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908.
 
{{Mbegu-mwanasayansi}}