George Paget Thomson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
'''George Paget Thomson''' ([[3 Mei]] [[1892]] – [[10 Septemba]] [[1975]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[elektroni]]. Mwaka wa [[1937]], pamoja na [[Clinton Davisson]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Thomson ni mwana wa [[Joseph John Thomson]] aliyetuzwa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.nobelprize.org/nobel_prizes/physics/laureates/1937/thomson-bio.html Wasifu yake Thomson katika tovuti rasmi ya Tuzo ya Nobel]
 
{{Mbegu-mwanasayansi}}