Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d maana ya lugha
Mstari 6:
 
== Maana ya neno "lugha" ==
Lugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zilizokuazenye katika mpango maalummaana na zilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike katika [[mawasiliano]].
 
Mara chache neno lugha linatumika kwa taratibu za kuwasiliana za [[mnyama|wanyama]]. Lakini taratibu hizo ni tofauti sana: katika lugha za wanyama, [[sauti]] moja ina maana moja tu. Lakini katika lugha za binadamu, sauti nyingi zinaunganishwa kutengeneza [[Neno|maneno]], na maneno mengi yanaunganishwa kutengeneza [[sentensi]]. Hivyo mnyama ambaye anaweza kutengeneza sauti [[ishirini]] tofauti anaweza "kusema" mambo ishirini tu. Kwa upande mwingine mtu ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini, anaweza kusema mambo zaidi ya [[milioni]].