Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 89 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34623 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:10 Gebote (Lucas Cranach d A).jpg|thumb|350px|Amri 10 - taswira ya [[Lucas Cranach Mzee]].]]
'''Amri Kumi''' ni orodha zaya [[amri]] kuu za kidini[[Mungu]] katika [[Biblia]].
 
Toleo la awali linapatikana katika [[kitabu]] cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17. Toleo la pili liko katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:1-21.
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazowahusu pia wao pia, tena kimsingi zinadaizinawadai watu wote.

Hata hivyo wafuasi wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa kama [[Agano Jipya]]. Mifano ya ukamilisho huo ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.
 
== Maneno ya Amri Kumi ==
Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia "Kutoka" na "Kumbukumbu la Torati".
{| class="wikitable"
!'''Kitabu cha Kutoka 20:2–17'''
Line 41 ⟶ 43:
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
|}
[[Picha:Decalogue parchment by Jekuthiel Sofer 1768.jpg|thumb|200px|Amri Kumi kwa maandishi ya [[Kiebrania]] kutokakatika [[sinagogi]] la [[Amsterdam]].]]
 
== Mpangilio wa Amri Kumi ==
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba [[kumi]] ni [[hesabu]] iliyotiliwailiyotiwa baadaye kwakatika orodha hii, haikuwa nia ya kiasiliasili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu tayari wakati wa Biblia ilikuwa kawaida tayari kuziita "amri 10", lakini bila kuonyesha namba au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.
 
Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya mapokeo ya madhehebu mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande moja na Wakatoliki pamoja na Walutheri na Wamoravian kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na sanamu za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na miungu mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri mbili. Martin Luther alimfuata Agostino lakini Wareformed waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.
 
Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya [[mapokeo]] ya [[madhehebu]] mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande moja na [[Wakatoliki]] pamoja na [[Walutheri]] na [[Wamoravian]] kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na [[sanamu]] za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na [[miungu]] mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri [[mbili]]. [[Martin Luther]] alimfuata Agostino lakini [[Wareformed]] waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.
 
<center>
Line 137 ⟶ 138:
* {{Cite book|last= Mendenhall |first= George E|year= 1973 |title= The Tenth Generation: The Origins of the Biblical Tradition |publisher=Johns Hopkins University Press |location=Baltimore |isbn=0-8018-1267-4}}
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Exod/20/ Maneno ya Amri Kumi katika Kutoka 20]
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Deut/5/ Maneno ya Amri Kumi katika Kumbukumbu la Torati 5]