Tofauti kati ya marekesbisho "Adamu"

96 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903))
[[Image:God2-Sistine Chapel.png|300px|thumb|right|[[Uumbaji]] wa Adamu ulivyochorwa ([[1511]]) na [[Michelangelo]] Buonarroti katika [[Cappella Sistina]], huko [[Vatikano]]. Ni mmojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.]]
[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|leftright|250px|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni [[jina]] analopewa [[mtu]] wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.
 
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.
 
Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[Seti]].
Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa [[mtume]] wa kwanza.
 
==Tazama pia==
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]