Eva : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q830183 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AUTUN Gislebertus Eva1.JPG|thumb|right|280px|Eva akiinama kula tunda, alivyochongwa na [[Gislebertus]] upande wa nje wa [[kanisa kuu]] la [[Autun]], [[Ufaransa]].]]
'''Eva''' ni [[jina]] la [[mwanamke]] wa kwanza kadiri ya [[Biblia]]. Maana yake inafikiriwa kuhusiana na uhai: ''mama wa walio hai''.
 
[[Kanisa Katoliki]] linamheshimu kama [[mtakatifu]] tarehe [[24 Desemba]].
 
Umaarufu wake umeongezeka tena hivi karibuni, baada ya upimaji wa [[DNA ya mviringo]] kuthibitisha kwamba [[binadamu]] wote wanatokana na [[mama]] mmoja.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]