Hosea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
 
Mfano huo wa upendo wa Mungu kwa [[bibiarusi]] asiye mwaminifu uligusa sana watu ukazidi kuzingatiwa mpaka katika [[Agano Jipya]] na kuchangia [[uimara]] wa ndoa iliyofikiriwa upya kama upendo mwaminifu, si kama [[uhusiano]] wa [[sheria|kisheria]] au wa [[mwili|kimwili]] tu ambao udumu mpaka utakapoendelea kuleta [[faida]]. Zaidi ya hayo, uliwaelekeza Waisraeli kupokea [[fundisho]] la Yesu kwamba [[dini]] ni [[suala]] la upendo, si ibada wala sheria tu.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Viungo vya nje==
*[http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=102983 Nabii Hosea] Picha na habari zake
*{{CathEncy|wstitle=Osee}}
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Category:Watu wa Biblia]]