Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d layout
+kuboresha makala
Mstari 61:
*Kuihiza jamii inayohusika.
*Kukejeli mambio mbalimbali yanayofanyika ndani ya jamii husika.
==Sifa za fasihi simulizi==
 
Fasihi simulizi ina sifa za kipekee ambazo huipambanua na fasihi andishi. Sifa hizo ndizo huipa uhai fasihi hii. Miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na:
#'''Utendaji''' wa fasihi simulizi hushirikisha utendaji wa fanani na hadhira moja kwa moja (ana-kwa-ana)
#'''Fanani''' kuwepo kwa fanani ambaye husimulia, huimba, hupiga makofi na hata kubadilisha miondoko na mitindo ya usimuliaji.
#'''Hadhira''' kuwepo kwa hadhira ambaye hushiriki kwa kuuliza maswali, kupiga makofi, kushangilia, kuimba na kadhalika - kutegemeana na jinsi ambayo fanani atawashirikisha.
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinawqeza kuwa vimpeitwa na wakati lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka kizazi kimoja kwenda kingine.
#Fasihi simulizi '''huzaliwa, hukua na hata kufa'''. Hii ni kutokana na maendeleo ya mazingira ambayo hufuata mfumo wa jamii husika. Kwa mfano kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia fasihi inaweza kuhifadhiwa kwenye maandishi jna kwenye kanda mbalimbali za kurekodi.
#Fasihi simulizi ina '''uwanja maalumu wa kutendea'''; joo mo sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili ya aina/kipera fulani cha fasihi simulizi. Sehemu hiyo inaweza kuwa porini, misituni, mtoni, pangoni, nyumbani na kadhalika.
==Wahusika wa fasihi simulizi==
==Viungo vya nje==
*[http://chomboz.blogspot.co.uk/p/fasihi_4.html blogu ya Eric Ndumbaro kuhusu Fasiki simulizi ya Kiafrika]