Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
+kuboresha makala |
||
Mstari 1:
'''Nyimbo/wimbo''' ni tungo zenye kufuata mapigo fulani ya kimi za kiafuziki yenye mahadhi ya kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti (urari wa sauti) na mpangilios maalumu wa maneno. Nyimbo huundwa kwa lugha ya mkato na matumizi ya lugha ya picha (taswira). Muundo wa nyimbo huwa ni kuimbika na mizani ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana. Nyimbo aghalabu huambatana na ala za muziki kama vile ngoma, zeze, marimba, makofi, vigelegele na kadhalika.
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za dini, harusi, siasa, jando/unyago, kilimo, nyimbo za kuwinda na kadhalika.
{{mbegu-muziki}}
|