Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kuboresha makala
No edit summary
Mstari 1:
'''NyimboWimbo/wimbonyimbo''' ni [[tungo]] zenye kufuata mapigo fulani ya kimi za kiafuziki yenye mahadhi ya kupanda na kushuka kwa [[mawimbi]] ya [[sauti]] (urari wa sauti) na mpangiliosmpangilio maalumu wa maneno. Nyimbo huundwa kwa lugha ya mkato na matumizi ya lugha ya picha (taswira). Muundo wa nyimbo huwa ni kuimbika na mizani ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana. Nyimbo aghalabu huambatana na ala za muziki kama vile ngoma, zeze, marimba, makofi, vigelegele na kadhalika.
 
Nyimbo huundwa kwa [[lugha]] ya mkato na matumizi ya lugha ya [[picha]] (taswira).
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za dini, harusi, siasa, jando/unyago, kilimo, nyimbo za kuwinda na kadhalika.
 
Muundo wa nyimbo huwa ni kuimbika na [[mizani]] ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana.
 
Nyimbo aghalabu huambatana na [[ala]] za [[muziki]] kama vile [[ngoma]], [[zeze]], [[marimba]], makofi, [[vigelegele]] na kadhalika.
 
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za [[dini]], [[harusi]], [[siasa]], [[jando]]/[[unyago]], [[kilimo]], nyimbo za kuwinda na kadhalika.
 
{{mbegu-muziki}}
 
[[Jamii:Muziki]]
 
[[sv:Musikverk]]