Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kuboresha makala
No edit summary
Mstari 5:
Hata jamii ijuayo kusoma na kuandika inaendelea kuwa na fasihi simulizi, hasa [[Nyumba|nyumbani]], k.m. katika kuwasimulia [[watoto]] hadithi. Lakini mara nyingi fasihi simulizi ya jamii ijuayo kusoma na kuandika ni tofauti sana na fasihi simulizi ya jamii isiyo na uandishi, kwa vile imeathiriwa na ujuzi wa kusoma na kuandika, na [[mtindo|mitindo]] ya masimulizi yake haiendi sambamba na mitindo ya masimulizi yasiyoathiriwa na uandishi.
 
==Tanzu zana vipera vya fasihi simulizi==
{| class="wikitable float-right"
|+
|+Tanzu na vipera vya Fasihi Simulizi
|-
! [[Hadithi]]!! [[Ushairi]] !! [[Semi]] !! [[Maigizo]]
Mstari 62:
*Kuihiza jamii inayohusika.
*Kukejeli mambio mbalimbali yanayofanyika ndani ya jamii husika.
 
==Sifa za fasihi simulizi==
Fasihi simulizi ina sifa za kipekeepekee ambazo huipambanua na fasihi andishi. Sifa hizo ndizo huipa [[uhai]] fasihi hii. Miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na:
#'''Utendaji''' wa fasihi simulizi hushirikisha utendaji wa fanani na hadhira moja kwa moja (ana-kwa-ana)
#'''Fanani''' kuwepo kwa fanani ambaye husimulia, huimba, hupiga makofi na hata kubadilisha miondoko na mitindo ya usimuliaji.
#'''Hadhira''' kuwepo kwa hadhira ambaye hushiriki kwa kuuliza maswali, kupiga makofi, kushangilia, kuimba na kadhalika - kutegemeana na jinsi ambayoambavyo fanani atawashirikisha.
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinawqezavinaweza kuwa vimpeitwavimepitwa na wakati, lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka [[kizazi]] kimoja kwenda kingine.
#Fasihi simulizi '''huzaliwa, hukua na hata kufa'''. Hii ni kutokana na [[maendeleo]] ya mazingira ambayo hufuata mfumo wa jamii husika. Kwa mfano kutokana na maendeleo ya [[sayansi]] na [[teknolojia]] fasihi inaweza kuhifadhiwa kwenye [[maandishi]] jnana kwenye kanda mbalimbali za kurekodi.
#Fasihi simulizi ina '''uwanja maalumu wa kutendea'''; joo mo sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili ya aina/kipera fulani cha fasihi simulizi. Sehemu hiyo inaweza kuwa porini, misituni, mtoni, pangoni, nyumbani na kadhalika.
 
==Wahusika wa fasihi simulizi==
 
==Viungo vya nje==
*[http://chomboz.blogspot.co.uk/p/fasihi_4.html blogu ya Eric Ndumbaro kuhusu Fasiki simulizi ya Kiafrika]