Kitenzi kikuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 14:
*Chakula <u>kimepikwa</u> vizuri
*Sisi <u>tunasoma</u> somo la Kiswahili
 
==Sifa za Kitenzikitenzi kikuu==
* Huweza kusimama peke yake katika tungo au sentensi na kukamilisha taarifa bila ya kuwepo kitenzi kingine.
Mfano;: Mama '''anakula'''
* Huweza kuonesha ukanushi au uyakinishi
Mfano; Mimi '''ninakimbia''' (uyakinishi)
 
* Huweza kuonesha ukanushi au uyakinishi
Mfano;: Mimi '''ninakimbia''' (uyakinishi)
Wewe '''hutaimba''' wimbo huu (ukanushi)
 
* Huundwa kwa viambishi mbalimbali.
Mfano;: Wa- ta- mu- on-a
 
==Tazama pia==