Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Marejeo: chanzo
Mstari 104:
 
Katika [[Mkataba wa Versailles]] mwaka 1919 eneo la koloni la Kijerumani liligawiwa. Sehemu ya [[Tanganyika]] ilikabidhiwa kwa Uingereza na maeneo ya Rwanda na Burundi yaliwekwa chini ya [[Ubelgiji]].
 
==Utawala==
Eneo lote la koloni liligawiwa kwa mikoa na maeneo matatu yalikuwa bado chini ya watawala wa kienyeji kwa mfumo wa maeneo lindwa. Hadi 1913 mikoa 19 ilikuwa chini ya utawala wa kiraia yaani chini ya maafisa wa serikali ya kikoloni. Mikoa miwili ya Iringa na Mahenge ilikuwa bado chini ya utawala wa kijeshi yaani hapo walikuwa maafisa wa Schutztruppe waliotekeleza majukumu yote ya serikali.
Mikoa chini ya usamimizi wa kiraia ilikuwa
 
1. [[Tanga]] </br>
2. [[Pangani]] pamoja na ofisi ndogo Handeni</br>
3. [[Bagamoyo]] pamoja na ofisi ndogo Saadani</br>
4. Daressalam pamoja na ofisi ndogo ya polisi Kisangire</br>
5. [[Rufiji]], makao makuu Utete</br>
6. [[Mkoa wa Kilwa|Kilwa]] pamoja na ofisi ndogo za Kilindoni, Kibata na [[Liwale]]</br>
7. [[Lindi]] pamoja na ofisi ndogo za [[Mikindani]], [[Newala]] und [[Tunduru]]</br>
8. Langenburg pamoja na ofisi ndogo Itaka na Mwakete na kituo cha polisi Muaja</br>
9. [[Wilhelmstal]]</br>
10. Morogoro pamoja na ofisi ndogo za Kilossa na Kissaki</br>
11. Ssongea pamoja na ofisi ndogo Wiedhafen</br>
12. Moshi</br>
13. Arusha pamoja na ofisi ndogo Umbulu</br>
14. Kondoa-Irangi pamoja na ofisi ndogo Mkalama</br>
15. Dodoma pamoja na kituo cha polisi Mpapwa na kituo cha kijeshi Singida</br>
16. Mwansa pamoja na ofisi ndogo Shirati na kituo cha kijeshi Ikoma</br>
17. Tabora pamoja na ofisi ndogo za Shinyanga na Ushirombo</br>
18. Ujiji pamoja na kituo cha kijeshi Kasulo</br>
19. Bismarckburg.</br>
 
Mikoa chini ya usimamizi wa kijeshi
 
21. Iringa pamoja na kituo cha kijeshi Ubena </br>
22. Mahenge</br>
 
Maeneo lindwa
 
[[Bukoba]] pamoja na vituo vya kijeshi Usuwi na Kifumbiro </br>
[[Rwanda]], mji mkuu Kigali , kituo cha kijeshi Mruhengeri</br>
[[Burundi]], mji mkuu Gitega, pamoja na ofisi ndogo Usumbura ([[Bujumbura]]).</br>
 
==Tanbihi==