Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 106:
 
==Utawala==
Eneo lote la koloni liligawiwa kwa mikoa 21 na maeneo matatu yalikuwayaliyokuwa bado chini ya watawala wa kienyeji kwa mfumo wa [[maeneo lindwa]]. Hadi 1913 mikoa 19 ilikuwa chini ya utawala wa kiraia yaani chini ya maafisa wa serikali ya kikoloni. Mikoa miwili ya Iringa na Mahenge ilikuwa bado chini ya utawala wa kijeshi yaani hapo walikuwa maafisa wa Schutztruppe waliotekeleza majukumu yote ya serikali.
Mikoa chini ya usamimizi wa kiraia ilikuwa