Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kalenga ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>
==Makumbusho ya mtemi Mkwawa==
Hapa Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi [[Mkwawa]] aliyeongoza upinzani wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya 1891 - 1896. Fuvu la Mkwawa lililowahi kupelekwa Ujerumani inasemekana kuhifadhiwa hapa tangu kurudishwa 1956.