Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Kalenga ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref> [[Msimbo wa posta]] ni 51201.
==Kalenga na historia ya mtemi Mkwawa==
[[Picha:Skull of Mkwawa.jpg|thumb|320px|[[Fuvu la kichwa]] cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.]]
Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]]. HapaHuko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga [[boma]] imara ya [[mawe]] baada ya kujifunza kuhusu uenezaji wa Wajerumani kutoka sehemu za [[pwani]]. Boma hii liliitwa Lipuli. [[Ujenzi]] ulianza mnamo [[1887]] ukachukua miaka minne.
 
Baada ya kushindwa kwa jeshi la [[Schutztruppe]] la Kijerumani katika mapigano ya [[Lugalo]] mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye Oktoba [[1894]] kwa [[silaha]] kali kama [[mizinga]] na [[bombomu]]. Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa boma. Akaendelea kuendesha [[vita ya msituni]] hadi kujiua mwaka 1898 alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata kichwa chake na kutuma fuvu Ujerumani.
 
Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa boma. Akaendelea kuendesha [[vita ya msituni]] hadi kujiua mwaka [[1898]] alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata [[kichwa]] chake na kutuma fuvu [[Ujerumani]].
Baada ya kushindwa kwa Ujerumani katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] washindi hasa Uingereza walisisitiza fuvu lirudishwe na hivyo kuna fungu 246 katika [[Mkataba wa Versailles]] linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye wanashindwa kulikuta na hivyo ilichelewa hadi baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia wakati jeshi la Uingereza lilikuwa na utawala juu ya sehemu za Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu moja katika mkusanyiko wa Makumbusho wa Bremen na kulituma Tanganyika kama fuvu la Mkwawa.
 
Baada ya kushindwa kwa Ujerumani katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], washindi, hasa [[Uingereza]], walisisitiza fuvu lirudishwe na: hivyo kuna fungu 246 katika [[Mkataba wa Versailles]] linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye wanashindwa kulikuta na, hivyo ilichelewa hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[jeshi]] la Uingereza lilikuwa na [[utawala]] juu ya sehemu za Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu moja katika mkusanyiko wa [[Makumbusho waya Bremen]] na kulituma [[Tanganyika]] kama fuvu la Mkwawa.
Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi Mkwawa na fuvu lakehilo linahifadhiwa hapahumo tangu kurudishwa mwaka [[1954]].
 
==Marejeo==
Line 20 ⟶ 22:
[[Jamii:Wilaya ya Iringa Vijijini]]
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]