Mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
maana
Mstari 1:
{{wiktionary}}
'''Mazingira''' kwani ujumlajumla yanahusuya eneomambo linalomzugukayote yanayomzuguka kiumbe katika maisha yake. Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali.
 
Pia mazingira haya tunayozungumzia yanaweza kuwa ya asili (kama [[misitu]], [[milima]], [[Ziwa|maziwa]], [[bonde|mabonde]], [[mito]], [[bahari]] n.k.) au ya kutengenezwa na [[binadamu]] (kama [[jengo|majengo]], [[kiwanda|viwanda]] n.k.).
 
Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huharibu mazingira kama vile [[uchafuzi wa hewa]], [[uchafuzi wa bahari]],uchafuzi wa ardhi, n.k. Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya kilimo na mifugo si nzuri, hivyo basi tupande miti kwa wingi, tutunze vyanzo vyetu vya maji, na kutumia maji vizuri, hasa katika shughuli za kilimo ili kuliepuka tatizo hili na pia kumtanguliza Mungu katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kila siku.
 
Mazingira yanaweza kumaanisha: