Nadhiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Samson - Jacob Matham.jpg|thumb|[[SamsonSamsoni]] alikuwa ''[[mnadhiri]]'' tangu tumboni mwa [[mama]] yake.]]
[[Picha:Ewige Profess.jpg|thumb|[[Sista]] [[OSB|Mbenedikto]] akiwekwaakiweka [[nadhiri ya daima]] na kuwekwa [[wakfu]] kama [[bikira]] ([[2006]]).]]
[[Image:Nun procession ceremony.jpg|thumb|[[Ibada]] ya kuweka nadhiri katika [[monasteri]] ya maisha ya ndani tu.]]
 
'''Nadhiri''' (kwa [[Kiebrania]] '''נדר''', '''neder''') ni [[ahadi]] inayotolewa kwa [[Mungu]], kama k.mf. [[Biblia]] inavyoonyesha ([[Law]] 27; [[Amu]] 11; [[Mdo]] 21:23; 23:21).
 
Yeyote anaweza kuweka nadhiri anavyopenda, lakini kuna nadhiri zilizoratibiwa na [[sheria]], hasa [[sheria za Kanisa]], kama zile za [[utawa|kitawa]].
 
Katika mashirika mengi, zinahesabiwa [[tatu]] ambazo zinaendana: [[useja mtakatifu]], [[ufukara]] na [[utiifu]].
 
Baadhi yanaongeza nyingine ([[nadhiri ya nne]]), k.mf. kujitoa hadi kufa kwa ajili ya [[Wakristo]] walio katika hatari ya kupoteza [[imani]] (kwa [[Wamersedari]]), kutekeleza [[toba ya kudumu]] kwa [[Waminimi]], [[utiifu kwa Papa]] kwa [[Wajesuiti]], na [[utumishi wa walio mafukara zaidi]] kwa wafuasi wa [[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]].
 
Nadhiri zinaweza kuwa [[nadhiri za muda|za muda]] au [[nadhiri za daima|za daima]]. Mara nyingi zile za muda zinatangulia na kuandaa zile za daima.
Baadhi yanaongeza nyingine ([[nadhiri ya nne]]), k.mf. kujitoa hadi kufa kwa ajili ya [[Wakristo]] walio katika hatari ya kupoteza [[imani]] ([[Wamersedari]]), kutekeleza [[toba ya kudumu]] kwa [[Waminimi]], [[utiifu kwa Papa]] kwa [[Wajesuiti]], na [[utumishi wa walio mafukara zaidi]] kwa wafuasi wa [[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]].
 
==Viungo vya nje==