Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Mbozi|Mbozi]]
|wakazi_kwa_ujumla = 3784456,256
|latd= |latm= |lats= |latNS=S
|longd= |longm= |longs= |longEW=E
Mstari 19:
}}
 
'''Vwawa''' ni [[jina]] la [[mji mdogo]] na makao makuu ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]]. Ni pia makao makuu ya Mkoa ya Songwe.
 
'''Vwawa ''' ni kata ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 56,256 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53301.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-mbeya}}
 
 
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
[[Jamii:Kata za Mkoa wa Songwe]]
 
 
 
 
 
 
'''Vwawa ''' ni katasehemu ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Vwawa ilikuwa na wakazi wapatao 56,256 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53301.
 
Asili ya jina la Vwawa ni mtemi au mlima.
Line 51 ⟶ 36:
 
==Habari nyingine kuhusu Vwawa==
Mnamo mwaka 2015 jina la Vwawa liliingia katika vichwa vikuu vya habari nchini Tanzania baada ya kuhusishwa na harakati za kuufanya kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe kabla ya kupitishwa kwake rasmi mnamo mwaka 2016. Vwawa ni mji ambao ni makao makuu ya wilaya ya Mbozi lakini pia makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe.

Mji huu upo nyanda za juu kusini ukiwa umepitiwa na barabara kuu iendayo [[Zambia]] kupitia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Morogorogo, Pwani kutokea jijini Dar es Salaam. Vwawa pia imepitiwa na reli ya [[TAZARA]] kutokea jijini Dar es Salaam hadi [[Kapiri Mposhi]] nchini Zambia.

Wenyeji wa mwanzo wa mji huu ni makabila ya [[Wanyiha]], [[Wandali]], [[Wanyamwanga]] na baadhi ya [[Wanyakyusa]] wapatikanao katika maeneo ya masoko na Ndolezi wilayani Mbozi. Vwawa ni mji wenye mitaa yake ambayo ni Old Vwawa, Ilolo, Isangu, Vwawa day, Ichenjezya, Ilembo, Frolida, Mbimba Itemba, na Mtambwe. Mji huu umezungukwa na huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo za kiserikali na watu binafsi kama vile shule, hospitali, nyumba za serikali, benki na huduma nyingine kama vile vituo vya mafuta, masoko, maji ya kutosha na umeme.

Mji huu ni mji wenye ardhi nzuri ambayo si ya hali ya ukame ambayo inaruhusu uwepo wa vyakula vya aina nyingi kwa vipindi vyote yaani kiangazi na masika. Mlima Ng'amba na milima mingine ionekanayo kwa umbali ni moja ya vitu vioneshayo Vwawa kwa uzuri wa kipekee. Kazi nzuri ifanywayo na jeshi la polisi pamoja na ukarimu pia ushirikiano wa watu wa Vwawa ni moja ya vitu viifanyayo Vwawa kuwa mji wenye utulivu muda wote. Kwa miaka mingi Vwawa imeonekana kutoa wasomi wengi sana ambao wamekua chachu ya maendeleo ya taifa hili katika nyanja mbalimbali.

Uwepo wa makampuni binafsi kama vile Ilasi, Unyiha, ADP na mengine mengi ambayo hayajatajwa yamesaidia sana sekta za elimu, uchumi, habari na masuala ya kilimo. Pia Vwawa inatoa fursa ya uwekezaji kwa wageni na wenyeji katika masuala mbalimbali. Wenyeji wa mji huu wa Vwawa wanawakaribisha sana wageni wa mikoa na wilaya nyingine ili kuwezesha mzunguko wa kibiashara na kijamii.
 
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-mbeya}}
 
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-songwe}}
 
[[Jamii:MkoaWilaya waya SongweMbozi]]
[[Jamii:WilayaKata yaza MboziMkoa wa Songwe]]