Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 239:
 
===Sala na ibada===
[[File:Mass, St Mary's Basilica Bangalore.jpg|left|thumb|200px|Padri akiadhimisha [[Misa]] katika [[Basilika]] yala [[Bikira Maria]], [[Bangalore]], [[India]].]]
Mafundisho ya Yesu kuhusu [[sala]] hayatii maanani taratibu maalumu. Badala yake yeye alisisitiza msimamo wa ndani wa kumuendea Mungu kwa imani na [[unyofu]] kama vitoto wanavyohusiana na baba zao. Ndivyo mwenyewe alivyosali katika Roho Mtakatifu aliyewaahidia wafuasi atawaongoza badala yake.
 
Kwa msingi huo, katika historia ya Kanisa namna nyingi za kusali zimetokea kwa [[maisha ya Kiroho]] ya Mkristo binafsi na kwa jumuia nzima pamoja. Kwa kawaida, taratibu za kuendesha ibada zinaitwa [[liturujia]] (kutoka maneno ya Kigiriki yenye maana ya “kazi ya hadhara”).
 
Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, [[Waanglikana]], [[Wamethodisti]], [[Walutheri]] na wengineo wanafuatilia desturi kama walivyozipokea. Mtiririko wa [[ibada]] zao huandikwa na hujulikana kama [[Liturujia]].
[[File:Worship-team.jpg|thumb|left|250px|[[Bendi]] ya Kiprotestanti ikiongoza ibada inayofanana na tamasha.]]
Madhehebu mengine, hasa yale ya [[Wapentekoste|Kipentekoste]], huwa na ibada ambazo hazijaandikwa kitabuni: kiongozi wa ibada wa siku hiyo huja na madondoo yake na mtiririko wa ibada huenda kama "Roho" atakavyoongoza siku hiyo. Kwa sababu hiyo husema kwamba hawafuati desturi au mapokeo. Ukiangalia zaidi utaona kuwa ibada zao pia huwa na mtindo na mtiririko fulani, kama vile kuimba mapambio ya harakaharaka wakiwa wanapiga makofi, kucheza na kurukaruka. Mapambio hayo hufuatiliwa na mengine ya taratibu wakiinua mikono [[kuabudu]]. Inawezekana kusema hao nao wana utaratibu au liturugia yao ingawa haijaandikwa kwenye vitabu.
 
Ukiangalia zaidi utaona kuwa ibada zao pia huwa na mtindo na mtiririko fulani, kama vile kuimba mapambio ya harakaharaka wakiwa wanapiga makofi, kucheza na kurukaruka. Mapambio hayo hufuatiliwa na mengine ya taratibu wakiinua mikono [[kuabudu]]. Inawezekana kusema hao nao wana utaratibu au liturujia yao ingawa haijaandikwa kwenye vitabu.
Wakristo wanahesabu ufufuko wa Yesu kuwa msingi mkuu wa imani yao (1Kor 15:14): ndiyo sababu karibu wote wanaabudu hasa [[Jumapili]], ambayo ndiyo siku ya tukio hilo kuu la [[historia]] yote. Ila [[asilimia]] 1 inaendelea kushika [[Sabato]], iliyo siku ya wiki ambapo Wayahudi h upumzika na kuabudu.
 
Wakristo wanahesabu ufufuko wa Yesu kuwa msingi mkuu wa imani yao (1Kor 15:14): ndiyo sababu karibu wote wanaabudu hasa [[Jumapili]], ambayo ndiyo siku ya tukio hilo kuu la [[historia]] yote. Ila [[asilimia]] 1 inaendelea kushikainashika [[Sabato]], iliyo siku ya wiki ambapo Wayahudi h upumzikahupumzika na kuabudu.
 
===Haki na amani===