Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 230:
|image3 =Christianity percent population in each nation World Map Christian data by Pew Research.svg
|caption3 = Uwepo wa Wakristo duniani: Rangi nzito inaonyesha asilimia kubwa zaidi ya Wakristo<ref>{{cite web|author=ANALYSIS |url=http://www.pewforum.org/2012/12/18/table-religious-composition-by-country-in-percentages/ |title=Table: Religious Composition by Country, in Percentages |publisher=Pewforum.org |date=2011-12-19 |accessdate=2012-08-17}}</ref>}}
Kwa miaka 100 ya mwisho asilimia za Wakristo kati ya watu wote zimebaki 33, yaani mmoja kwa watatu, lakini [[uwiano]] kati ya [[Bara|mabara]] umebadilika sana, kwa maana katika Afrika, Asia na [[nchi zinazoendelea|nchi nyingine zinazoendelea]] Wakristo wameongezeka, kumbe Ulaya na [[Amerika Kaskazini]] wamepungua<ref>Werner Ustorf. "A missiological postscript", in McLeod and Ustorf (eds), ''The Decline of Christendom in (Western) Europe, 1750–2000'', ([[Cambridge University Press]], 2003) pp. 219–20.</ref>[[Pew Research Center]] inakadiria kwamba mwaka [[2050]], watazidi [[bilioni]] [[tatu]].<ref name=PewProjections>{{cite web|url=http://www.pewforum.org/files/2015/03/PF_15.04.02_ProjectionsFullReport.pdf|title= The Future of World Religions: Population Growth Projections, 2010-2050|publisher=}}</ref>. Wakati huo Wakatoliki na Waprotestanti huenda wakalingana kwa idadi<ref name="pewforum1"/><ref>Johnstone, Patrick, [https://books.google.com/books?id=AVzFAgAAQBAJ&pg=PA109&dq=christianity+2050+protestant&hl=pl&sa=X&ei=wQO7VJbSI8i1OraXgdAC&ved=0CB8Q6AEwAA#v=onepage&q=christianity%202050%20protestant&f=false "The Future of the Global Church: History, Trends and Possibilities"], p. 100, fig 4.10 & 4.11</ref><ref>Hillerbrand, Hans J., [https://books.google.com.hk/books?id=4tbFBQAAQBAJ&lpg=PT3311&pg=PT3311#v=onepage&q&f=false "Encyclopedia of Protestantism: 4-volume Set"], p. 1815, "Observers carefully comparing all these figures in the total context will have observed the even more startling finding that for the first time ever in the history of Protestantism, ''Wider Protestants'' will by 2050 have become almost exactly as numerous as Roman Catholics – each with just over 1.5 billion followers, or 17 percent of the world, with Protestants growing considerably faster than Catholics each year."</ref>.
Kuhusu maeneo ambako Wakristo wanapungua, ni kwamba, kutokana na [[historia ya Kanisa]] kuwa na mchanganyiko wa mazuri na mabaya, wengine wanahisi kuwa halina maana tena. Pia kuna makundi kama [[Wakomunisti]] na [[Wamasoni]] ambayo yanakusudia kabisa kufuta Ukristo kwa kutangaza kasoro za waumini na viongozi wao, pamoja na kuhimiza watu kwenda kinyume cha [[maadili]].
 
Hali hii inajionyesha hasa pale ambapo waamini wengi, hasa Ulaya, wameacha kwenda kanisani isipokuwa siku ya [[Krismasi]] na [[Pasaka]] au kwenye [[harusi]] na misiba.
 
Pia kutokana na mgawanyiko wa madhehebu, kumekuwa na mkanganyiko kuhusu kazi yaambazo zinalipasa Kanisa la leo.
 
===Sala na ibada===
Mstari 245:
 
Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, [[Waanglikana]], [[Wamethodisti]], [[Walutheri]] na wengineo wanafuatilia desturi kama walivyozipokea. Mtiririko wa [[ibada]] zao huandikwa na hujulikana kama [[Liturujia]].
[[File:Worship-team.jpg|thumb|leftright|250px|[[Bendi]] ya Kiprotestanti ikiongoza ibada inayofanana na tamasha.]]
Madhehebu mengine, hasa yale ya [[Wapentekoste|Kipentekoste]], huwa na ibada ambazo hazijaandikwa kitabuni: kiongozi wa ibada wa siku hiyo huja na madondoo yake na mtiririko wa ibada huenda kama "Roho" atakavyoongoza siku hiyo. Kwa sababu hiyo husema kwamba hawafuati desturi au mapokeo.
 
Mstari 253:
 
===Haki na amani===
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|rightleft|200px|[[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]].]]
Upande mwingine wanakanisa wanajaribu kuonyesha jitihada zao katika jamii, ikiwa ni pamoja na kuleta [[amani]] na [[maendeleo]] na kutoa misaada ya kijamii. Kuna uwezekano kwa madhehebu kadhaa kubadilisha mkazo wao kuutoa kwenye imani tu na kuuweka kwenye huduma za jamii au elimu: hii inafanya yaonekane kama moja ya mashirika ya hisani.