Ghana (Mbeya mjini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5555330 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
 
Eneo la Ghana mjini Mbeya ni moja wapo ya maeneo ya zamani katika mji wa Mbeya.
Eneo hili lilipewa jina la Ghana katika miaka ya 1950's baada ya nchi ya Ghana kupata uhuru ake.
Wananchi wengi wa mji wa Mbeya wa wakati huo walihamasika sana kusikia Uhuru wa nchi ya kwanza ya ki-Afrika na kulipa jina ilo sehemu hiyo.
Sehemu hii ilikuwa kwa ajili ya wafanyakazi wenye kipato kwa wakati huo wa mkoloni(employed civil servats).
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Kata ya Ghana
Line 23 ⟶ 20:
}}
 
<center><sup>''Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama '''[[Ghana (maana)|hapa]]'''''</sup></center>
 
'''Ghana''' ni jina la kata ya [[Mbeya Mjini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,885 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53102.
 
Eneo la Ghana mjini Mbeya ni moja wapo ya maeneo ya zamani katika mji wa Mbeya. Eneo hili lilipewa jina la "Ghana" baada ya nchi ya [[Ghana]] kupata uhuru wake mwaka 1957. Wananchi wengi wa mji wa Mbeya wa wakati huo walihamasika sana kusikia habari za uhuru wa koloni ya kwanza ya Afrika na kulipa jina lile sehemu hiyo. Sehemu hii ilikuwa kwa ajili ya wafanyakazi wenye kipato kwa wakati huo wa mkoloni.
'''Ghana''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Mbeya Mjini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 3,973 waishio humo.<ref>{{cite web|url=http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=88:village-stat&Itemid=106|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-18}}</ref>
 
==Marejeo==