Mbarali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Mbarali location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Mbarali (kijani) katika [[mkoa wa Mbeya]].]]
'''Wilaya ya Mbarali''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Mbeya]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 234,908 [http://web.archive.org/web/20040320094007/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbarali.htm].
Mbarali ni moja kati ya wilaya za Mkoa wa Mbeya. Wilaya hii ilianzishwa mnamo mwaka 2000. Upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na Wilaya ya Iringa Vijijini, upande wa Mashariki inapakana na Wilaya ya Njombe, upande wa Kusini inapakana na wilaya ya Mbeya na Kaskazini na Wilaya ya Chunya.
 
==UtawalaWakazi==
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 234,908 [http://web.archive.org/web/20040320094007/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbarali.htm]. Makabila makuu yaliyopo Wilayani Mbarali ni Wasangu, Wahehe, Wakinga, Wabena na Wanyakyusa. Vile vile yapo makundi madogo ya makabila wakiwemo Wasukuma, Wanji, Wabarbeig na Wagogo.
Katika wilaya hii kuna kata zifuatazo:
 
Makundi mengi ya makabila haya ni wakulima na wafugaji ambao walihamia bonde la Usangu kutoka Mikoa ya Arusha, Mwanza, Shinyanga, Singida na Dodoma.
*[[Chimala]]
 
*[[Igurusi]]
==Eneo==
*[[Madibira]]
Eneo lake ni kilometa za mraba 16,000. Katika eneo hili ardhi kwa ajili ya kilimo ni asilimia 20, eneo la wanyama pori takriban 30 %, hifadhi za misitu 1%, maeneo ya makazi mnamo 38% na maeneo ya pori tariban 16%. Wilaya ya Mbarali iko hasa tambarare ya chini katika [[Bonde la Ufa]]. Maji hutelemka kutoka milima na mitelemko ya kando na kukusanyika hapa hivyo wilaya ni a chanzo kikuu cha maji ambacho ni mto [[Ruaha Mkuu]] na kuelekea [[mto Rufiji]], halafu [[Bahari Hindi]].
*[[Mahongole (Mbarali)]]
 
*[[Mapogoro]]
==Ekolojia==
*[[Mawindi]]
Kunda kanda tatu za kiekolojia ambazo ni
*[[Msangaji]]
* Uwanda wa Msangaji katika kaskazini una udongo mwenye rutba kidogo, unapokea mvua [[mm]] 500 - 900 kwa mwaka na ni sehemu ya [[Hifadhi ya Taifa ya Ruaha]]
*[[Ruiwa]]
* Uwanda wa kati wa Usangu una udongo mweusi na kichanga, unapokea mvua mm 450-650 kwa mwaka ukitumiwa kwa kilimo cha [[mtama]], [[uwele]], [[mahindi]], [[mpunga]] na kwa [[ufugaji]].
*[[Rujewa]]
* Tambarare za Kusini mwa Usangu. Hapa mvua ni haba, mm 360-750. Kilimo ni cha [[mahindi]], [[karanga]], [[pamba]], kilimo cha [[umwagiliaji]] cha mpunga halafu ufugaji.
*[[Ubaruku]]
 
*[[Utengule Usangu]]
==Viungo vya Nje==
*[http://www.mbeya.go.tz/index.php/districts/category/mbarali Mbarali (tovuti rasmi ya Mkoa wa Mbeya]
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Mbarali}}