Pai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mbegu --> hisabati
picha
Mstari 1:
[[Picha:Pi-unrolled-720.gif|thumb|350px|Duara yenye kipenyo cha 1 ina mzingo mwenye urefu wa <big>π</big> ]]
[[Picha:Pi eq C over d.svg|alt=A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference|thumb|right|350px|Uwiano wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]] ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.]]
 
'''Pi''' ([[jina]] la [[herufi]] ya [[Kigiriki]] '''[[π]]''') ni [[namba]] ya [[duara]] kwa maana ya [[uwiano]] wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]].