Tofauti kati ya marekesbisho "Mzingo (jiometria)"

239 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Kipala alihamisha ukurasa wa Mzingo hadi Mzingo (jiometria): kutofautisha na mzingo wa nyuki nk)
No edit summary
[[Image:Circle - black simple.svg|thumb|Mzingo wa duara]]
'''Mzingo''' ni mstari wa nje wa umbo la kijiometria kama vile [[duara]], [[pembetatu]] au [[mstatili]].
 
Katika fani ya [[astronomia]] mzingo au njia mzingo inataja pia [[obiti]] yaani njia ya [[gimba la angani]] kama [[sayari]] ya kuzunguka [[jua]] au [[mwezi]] kuzunguka sayari yake kwa sababu njia hii inafanana na mzinga wa [[duaradufu]].