Kristoforo Kolumbus : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:Santa-Maria.jpg|thumb|Jahazi ya Santa Maria imejengwa tena kwa mfano wa jahazi ya Kolumbus miaka 500 iliyopita]]
[[Picha:Columbus Taking Possession.jpg|thumb|right|Msanii alichora picha hii mwaka 1893 akitaka kumwonyesha Kolumbus jinsi alivyofika Amerika mwaka 1492]]
[[Picha:The Four Voyages of Columbus 1492-1503 - Project Gutenberg etext 18571.jpg|thumb|center|300px|Ramani ya safari nne za Kolumbus]]▼
'''Kristoforo Kolumbus''' (kwa [[Kiitalia]]: Cristoforo Colombo
Mara nyingi aliitwa [[Mzungu]] wa kwanza wa kufika Amerika, lakini baadaye imejulikana ya kwamba [[Waviking]] walitangulia kufika [[Amerika ya Kaskazini]] mnamo [[mwaka]] [[1000]].
▲'''Kristoforo Kolumbus''' ([[Kiitalia]]: Cristoforo Colombo, [[Kihispania]]: Cristóbal Colón, [[Kilat.]]: Columbus, * [[1451]] [[Genova]]; † [[20 Mei]] [[1506]] [[Valladolid]]) alikuwa mfanyabiashara na mpelelezi aliyegundua njia ya usafiri kati ya [[Hispania]] na [[Amerika]].
▲Mara nyingi aliitwa Mzungu wa kwanza wa kufika Amerika lakini baadaye imejulikana ya kwamba [[Waviking]] walitangulia kufika Amerika ya Kaskazini mnamo mwaka [[1000]]. Lakini jitihada zake zilianzisha njia ya mawasiliano ya kudumu kati ya Amerika na mabara mengine tofauti na safari zote zilizovuka bahari kabla yake.
== Mipango ya Kolumbus ==
Nia ya Kolumbus ilikuwa kugundua njia ya kufika [[Uhindi]] kwa kuelekea [[magharibi]]. Sababu yake ilikuwa hali ya [[siasa]]
Kolumbus alitaka kufika Uhindi kwa [[meli]] bila
Nchi hii mpya ilikuwa bahati yake. Katika mipango yake alifanya kosa la kukadiria [[umbali]] kati ya Ulaya
== Safari ya 1492 ==
Kolumbus aliondoka Hispania kwa jahazi tatu
Alipofika kwenye visiwa vya [[Karibi]] katika [[Amerika ya Kati]] aliamini ya kwamba hivi vilikuwa visiwa vya
== Safari za baadaye ==
Kwa jumla Kolumbus alifanya safari [[nne]] hadi Amerika. Mwaka [[1498]] katika safari yake ya tatu alifika mara ya kwanza kwenye bara lenyewe katika [[mdomo]] wa [[mto]] [[Orinoco]] katika [[Venezuela]]. Kwa jumla alipoteza jahazi 9 katika safari zake.
▲[[Picha:The Four Voyages of Columbus 1492-1503 - Project Gutenberg etext 18571.jpg|thumb|center|300px|Ramani ya safari nne za Kolumbus]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1451]]
[[Jamii:Waliofariki 1506]]
[[Jamii:Wapelelezi kutoka Italia|Kolumbus]]
[[Jamii:Wapelelezi wa Amerika|
[[Jamii:Wafransisko]]
|