Kristoforo Kolumbus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Santa-Maria.jpg|thumb|Jahazi ya Santa Maria imejengwa tena kwa mfano wa jahazi ya Kolumbus miaka 500 iliyopita]]
[[Picha:Columbus Taking Possession.jpg|thumb|right|Msanii alichora picha hii mwaka 1893 akitaka kumwonyesha Kolumbus jinsi alivyofika Amerika mwaka 1492]]
[[Picha:The Four Voyages of Columbus 1492-1503 - Project Gutenberg etext 18571.jpg|thumb|center|300px|Ramani ya safari nne za Kolumbus]]
'''Kristoforo Kolumbus''' (kwa [[Kiitalia]]: Cristoforo Colombo; kwa [[Kihispania]]: Cristóbal Colón; kwa [[Kilatini]]: Columbus; [[Genova]], [[1451]]; [[Valladolid]], [[20 Mei]] [[1506]]) alikuwa [[mfanyabiashara]] na [[mpelelezi]] aliyegundua njia ya [[usafiri]] kati ya [[Hispania]] na [[Amerika]].
 
Mstari 14:
Nchi hii mpya ilikuwa bahati yake. Katika mipango yake alifanya kosa la kukadiria [[umbali]] kati ya Ulaya na [[Asia]] kuwa mdogo mno. Akiba za [[chakula]] na [[maji]] katika [[jahazi]] zake zisingetosha kufika Uchina. Kukuta nchi mpya njiani ambayo hakutegemea kulimwokoa.
 
== Safari ya mwaka 1492 ==
Kolumbus aliondoka Hispania kwa jahazi tatu tarehe [[3 Agosti]] [[1492]]. Tarehe [[12 Oktoba]] [[1492]] alikanyaga mara ya kwanza eneo la Amerika katika [[kisiwa]] kimoja kisichojulikana ni kipi kwa hakika katika [[funguvisiwa]] ya [[Bahama]]. Akaendelea hadi [[Kuba]] na kisiwa cha [[Dominica]] akarudi Hispania mwaka [[1493]].
 
Alipofika kwenye visiwa vya [[Karibi]] katika [[Amerika ya Kati]] aliamini ya kwamba hivi vilikuwa visiwa vya Kihindi. Akaviita "Uhindi wa Magharibi" na wakazi kwa [[lugha]] ya [[Kihispania]] "[[Indio]]" yaani Wahindi. Hadi [[kifo]] chake hakutaka kukubali ya kwamba nchi hii haikuwa Uhindi wala sehemu yoyote ya Asia ila kitu kipya.
 
== Safari tatu za baadaye ==
Kwa jumla Kolumbus alifanya safari [[nne]] hadi Amerika. Mwaka [[1498]] katika safari yake ya tatu alifika mara ya kwanza kwenye bara lenyewe katika [[mdomo]] wa [[mto]] [[Orinoco]] katika [[Venezuela]]. Kwa jumla alipoteza jahazi 9 katika safari zake.