Wastani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 32:
===Wastani inaweza kutudanganya kuhusu hali halisi===
Lakini kama namba za juu na zile chini ziko tofauti sana na nyingi na namba za katikati ni chache wastani inaweza kutupa picha isiyolingana na hali halisi. Mfano takwimu ya utajiri na umaskini. Kama katika jamii kuna matajiri wachache lakini wako tajiri sana upande moja na masikini wengi tena maskini sana, pamoja na watu wachache katikati tunaweza kupata wastani zisizoonyehsa picha ya kweli. Hapo wastani inaweza kuonyesha ya kwamba jamii kwa jumla imeendelea kuongeza mapato. Lakini tokeo hili linaonekana pia kama matajiri wanaongeza utajiri sana na maskini wanaongezeka umaskini
==Viungo vya Nje==
|