Kamusi za Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile app edit
d Masahihisho aliyefanya 105.56.195.154 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Mstari 1:
'''Kamusi za Kiswahili''' ni vyombo muhimu sana kwa kukuza na kuimarisha [[lugha]] ya [[Kiswahili]], ambayo kwa sasa ni [[lugha rasmi]] ya [[Jumuia ya Afrika Mashariki]] na moja ya [[lugha za mawasiliano]] za [[Umoja wa Afrika]].
 
==Historia. ya awali==
[[Kamusi]] za lugha hiyo zilianza kupatikana katika [[karne ya 19]] [[BK]].
 
[[Waswahili]] wenyewe, watu wa [[pwani]] ya [[Afrika Mashariki]] na [[visiwa]] vya jirani (kama [[Unguja]] na [[Pemba]]), hawajulikani kuwa wametunga kamusi kabla ya wakati huo.r
 
==Ludwig Krapf==