Wastani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Estatura media.svg|350px|thumb|Urefu wa wastani]]
'''Wastani''' (kutoka [[ar.Kiarabu]] <big>وسط</big> ''wasatun'', katikati, kitovu; kwa [[ing.Kiingereza]] ''average'') inatajalinataja hali ya katikati.
 
==Wastani kwa lugha ya kawaida==
* [[Uzito]] wa wastani si nzitomzito sana wala mwepesi.
* Urefu wa wastani si mrefu wala fupimfupi.
* Mtu wa wastani ni mtu asiye na [[tabia]] za pekee zinazoonekana sana.
 
==Wastani yawa kihesabu==
Katika [[hisabati]], na hasa [[takwimu]], "wastani" ni [[namba]] inayotaja tabia ya pamoja ya kiasi cha namba fulani.
 
Wastani inayotumiwaunaotumiwa mara nyingi ni inaitwaule unaoitwa "wastani yawa kihesabu" (ing. ''arithmetic mean''). Kuna aina nyingine za wastani.
 
'''Mfano:''' Mtumishi anafanya kazi kwenye [[siku]] za [[wiki]] anafanya [[kazi]] kama ifuatavyo: Jumtatu[[Jumatatu]] masaa 7, [[Jumanne]] masaa 10, Jumtano[[Jumatano]] masaa 8, [[Alhamisi]] masaa 9, [[Ijumaa]] masaa 8, [[Jumamosi]] masaa 6. [[Jumla]] ya masaa kwa wiki hii ni 48, gawa kwa 6 (siku alikofika kazini) amefanya kazi kwa wastani masaa 8 kila siku. Katika hesabu hii 8 ni wastani ya 7, 10, 8, 9, 8, 6.
 
Kwa [[lugha]] nyingine: kama idadi ya namba ni '' n '' , kila namba inaitwa ''a<sub>i</sub>'' (ambako ''i''&nbsp;=&nbsp;1,2,&nbsp;…,&nbsp;''n''), basi wastani yawa kihesabu ni jumla ya ''a'' zote gawa kwa ''n''
 
au kwa [[fomula]]
 
:<math>AM = \frac{1}{n}\sum_{i=1}^na_i = \frac{1}{n}\left(a_1 + a_2 + \cdots + a_n\right)</math>
 
 
==Wastani na hali halisi katika takwimu==
===Wastani inawezaunaweza kusaidiakutusaidia kujua hali halisi===
Wastani mara nyingi inasaidiaunasaidia kupata [[picha]] ya hali halisi bila kuathiriwa mno na mifano ya juu au ya chini. Mfano: takwimu ya [[ajali]] inaweza kusaidia kujua vizuri zaidi hatari za [[maisha]]; tukipata habari za ajali ya [[Ndege (uanahewa)|ndege]] tunaweza kuogopa, lakini hapa takwimu ya wastani inaweza kutuambia ya kwambakuwa tukio lililotushtusha si yala kawaida, linatokea mara chache tu. [[Ajali za ndege]] zinaripotiwa sana, lakini bado hatari ya kutumia ndege ni ndogo kwa kulingana na matumizi ya [[basi]] au [[gari]] la binafsi. Hapo takwimu itahesabu idadi ya watu wanaotumia [[usafiri]] fulani na [[umbali]] (idadi ya [[kilomita]] zinazosafiriwa) na kuchukua wastani.
 
Nchini [[Marekani]] hesabu ilipigwa kuwa iaddiidadi ya vifo kwa safari za urefu wa kilomita [[milioni]] 160 ([[maili]] 100 milioni za maili):
 
* usafiri kwa magari ya kawaida kwa kilomita milioni 160 : vifo 1.33
* usafiri kwa [[treni]] za abiria kwa kilomita milioni 160: vifo 0.13
* usafiri kwa [[eropleni]] za abiria kwa kilomita milioni 160: vifo 0.0077
 
===Wastani inawezaunaweza kutudanganya kuhusu hali halisi===
Lakini kama namba za juu na zile chini ziko tofauti sana, na nyingi na namba za katikati ni chache, wastani inawezaunaweza kutupa picha isiyolingana na hali halisi. Mfano: takwimu ya [[utajiri]] na [[umaskini]]. Kama katika [[jamii]] kuna matajiri wachache lakini wako tajiri sana upande mojammoja na masikinimaskini wengi tena maskini sana, pamoja na watu wachache katikati, tunaweza kupata wastani zisizoonyehsa picha ya kweli. Hapo wastani inawezaunaweza kuonyesha ya kwamba jamii kwa jumla imeendelea kuongeza mapato. Lakini tokeo hili linaonekana pia kama matajiri wanaongeza utajiri sana na maskini wanaongezeka umaskini kidogo. Hali halisi umaskini umepanuka na kuwa mbaya zaidi, lakini katika [[mazingira]] hayahayo takwimu inaweza kuonyesha kupanda kwa wastani ya mapato.
 
==Viungo vya Njenje==
*[http://www.ducksters.com/kidsmath/mean_median_mode_range.php Mean, median, mode and range], kidsmath, iliangaliwa machi 2017
*[https://www.mathsisfun.com/definitions/average.html Average (math is fun)]
*[https://web.archive.org/web/20070810034709/http://economicsbulletin.vanderbilt.edu/2004/volume3/EB-04C10011A.pdf Median as a weighted arithmetic mean of all Sample Observations]
*[http://www.sengpielaudio.com/calculator-geommean.htm Calculations and comparison between arithmetic and geometric mean of two values]
 
 
[[Jamii:Hisabati]]