Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

(→‎Ombi la MetaWiki: mjadala mpya)
 
Asanteni kwa kunitakia safari njema. Ni kweli, nitajaribu kupata jibu kuhusu tofauti ya "Chapter" na "User Group", na hasa masharti ya kujiandikisha. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 14:06, 6 Machi 2017 (UTC)
 
== Ombi la MetaWiki ==
 
Salaam,
Naomba munichangie msaada wa kukubali ombi langu la kupewa laptop kule Meta-Wiki. Kiungo [https://meta.wikimedia.org/wiki/Hardware_donation_program/Muddyb#Endorsements hiki hapa]. Wako,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 13:14, 17 Machi 2017 (UTC)