Mkonge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 22:
* ''[[Sansevieria volkensii|S. volkensii]]'' <small>[[Robert Louis August Maximilian Gürke|Gürke]]</small>
}}
'''Mikonge''' ni [[mmea|mimea]] ya [[jenasi]] ''[[Sansevieria]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Asparagaceae]]. [[Jani|Majani]] yao huitwa [[konge|makonge]]. Jina hili limesilikiwa kwa ''[[Agave sisalana]]'' ([[Mkonge Dume|mkonge dume]]) na [[spishi]] nyingine za jenasi ''[[Agave]]'' ([[mkonge-pori]]). Mkonge dume ni kiasili mmea wa [[Meksiko]] lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropoki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa [[katani]]. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani la [[Afrika ya Mashariki]].
 
==Spishi za Afrika ya Mashariki==