Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Sayari" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 25:
 
==Majina ya sayari==
Kwa Kiswahili kuna tofauti kuhusu majina ya sayari kati ya vikundi viwili:
Katika lugha za Ulaya majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya [[miungu]] ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]]. Kwa Kiswahili majina ya sayari zinazoonekana kwa macho (bila [[darubini]]) yanatokana na lugha ya Kiarabu, isipokuwa sayari ya pili ( [[Zuhura]]) ina pia jina lenye asili ya [[Kibantu]] hii ni [[Ng'andu]].
* sayari zinazoonekana kwa macho matupu ambazo ni [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Mirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohali]]. Hizi zilijulikana tangu kale na mabaharia hasa walizitumia kwa kukadiria njia wakiwa baharini mbali na bara. Majina haya yamepokelewa na Waswahili wa Kale kutoka kwa lugha ya Kiarabu pamoja na majina mengi ya nyota.<ref>Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97</ref> Ila sayari ya pili yaani Zuhura ambayo ni sayari inayong'aa kuliko zote ina pia jina la Kibantu ambayo ni Ng'andu ("mwenye kung'aa). Kwa lugha za Ulaya kama Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya [[miungu]] ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]].
 
* sayari zisizoonekana kwa macho kama [[Uranus]] na [[Neptun]] pamoja na [[sayari kibete]] ([[Pluto]]) zilitambuliwa tu bada ya kupatikana kwa mitambo ya [[darubini]]. Hatua hii ya kiteknolojia ilitokea Ulaya na hivyo wataalamu wa Ulaya waliendelea katika desturi ya kutumia majina yenye asili katika lugha za kale Kigiriki na Kilatini. ELimu ya sayari hizi za nje zilizokuwa geni kwa mataifa yoet mengine ya dunia ilisambaa pamoja na majina haya ya Kiulaya na hivyo lugha nyingi zinatumia majina haya.
 
==Sayari za jua letu==