Sayari : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 28:
* sayari zinazoonekana kwa macho matupu ambazo ni [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Mirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohali]]. Hizi zilijulikana tangu kale na mabaharia hasa walizitumia kwa kukadiria njia wakiwa baharini mbali na bara. Majina haya yamepokelewa na Waswahili wa Kale kutoka kwa lugha ya Kiarabu pamoja na majina mengi ya nyota.<ref>Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97</ref> Ila sayari ya pili yaani Zuhura ambayo ni sayari inayong'aa kuliko zote ina pia jina la Kibantu ambayo ni Ng'andu ("mwenye kung'aa). Kwa lugha za Ulaya kama Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya [[miungu]] ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]].
* sayari zisizoonekana kwa macho kama [[Uranus]] na [[Neptun]] pamoja na [[sayari kibete]] ([[Pluto]]) zilitambuliwa tu bada ya kupatikana kwa mitambo ya [[darubini]]. Hatua hii ya kiteknolojia ilitokea Ulaya na hivyo wataalamu wa Ulaya waliendelea katika desturi ya kutumia majina yenye asili katika lugha za kale [[Kigiriki]] na [[Kilatini]].
==Sayari za jua letu==
|