Fasihi andishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: en:Literature (strongly connected to sw:Fasihi)
No edit summary
Mstari 1:
'''Fasihi andishi''' ni [[sanaa]] itumiayo [[maandishi]] kufikisha [[ujumbe]] kwa [[hadhira]] iliyokusudiwa.
 
Fasihi andishi hugawanyika katika matawi mawili: [[nathari]] na [[ushairi]].
Mstari 5:
Pia fasihi andishi ina [[utanzu|tanzu]] nyingi mbalimbali, hasa [[riwaya]], [[tamthiliya]], [[insha]], [[shairi]] n.k.
 
Kulingana na mada ya [[kazi]] ya kifasihi, inawezekana kutofautisha [[bunilizi]] na kazi zinazowakilisha [[ukweli]].
 
==Marejeo==
*Wamitila, K.W. 2003. ''Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia'', Nairobi: Focus Books.
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Category:Fasihi]]