Ujumbe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Ujumbe''' ni taarifa inayopatikana baada ya kusoma au kusikiliza kazi fulani, kwa mfano ya [[usanii]]: ujumbe unapatikana kupitia [[dhamira]] husika katika kazi hiyo.
 
Ujumbe unaweza kutolewa kwa njia mbalimbali kati ya [[mtu]] na mtu, lakini pia kwa [[umati]], hasa siku hizi kupitia [[vyombo vya habari|vyombo vya mawasiliano]] [[mawasiliano ya kijamii|ya kijamii]].
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Fasihi]]